Nani aliwadanganya Wanawake wa Kiafrika kuwa weupe ndiyo urembo?

Nani aliwadanganya Wanawake wa Kiafrika kuwa weupe ndiyo urembo?

Meaning ungekuta ni mweupe kama Mchina ungempenda na usingem-block!!!
Wanaume kama wewe ndo mnasababisha huo ujinga..
Kwa kawaida, kitu kinachotakiwa zaidi sokoni ndo huzalishwa kwa wingi!
sure pia anaonekana hana “tactis” kwani haez mwambia amtumie picha isiyo na filter??

Atakua mvulana huyu asww
 
Wenyewe wanaamini kuwa mkizima taa usiku kuna kamwanga flani wanatoa,sio wale wengine total darkness...
 
Wanalazimisha kuwa waarabu 🤣🤣🤣 Mungu amekuumba mweusi halafu unajikoroga uwe mweupe, ni kumkosoa Muumba kwakweli....kana kwamba amekosea kukuumba.

Huko dar, kuna watu ndio kazi yao kujikoroga si wanaume si wanawake, mpaka kinyaa. Mnalazimisha kufanana na waarabu, wao wameumbwa hivyo.

Aise, badilikeni wanaume wa dar+wanawake wenye hii tabia
 
Yaani siku hizi imekuwa too much sasa

Kuna mwanamke mmoja hivi nilikuwa na-chat naye yaani yeye kila picha yake akiweka status yaani ni Mzungu tu

Sasa leo katika mizunguko yangu nimekutana naye live. Eee bwana ni mweusi tena ana chunusi.

Nimem-block sipendi ujinga

Hivi ninyi wanawake wetu kwanini msijikubali na weusi wenu uo kama wanawake wa Burundi na Soudan?
Jamii mkuu.
Utaskia jamani amezaa katoto kazuri keupee. Yani ana litoto libaya jeusi.
Utasikia demu mkali ana rangi white ya mtume. Kwanza demu lenyewe jeusiii.
 
Yaani siku hizi imekuwa too much sasa

Kuna mwanamke mmoja hivi nilikuwa na-chat naye yaani yeye kila picha yake akiweka status yaani ni Mzungu tu

Sasa leo katika mizunguko yangu nimekutana naye live. Eee bwana ni mweusi tena ana chunusi.

Nimem-block sipendi ujinga

Hivi ninyi wanawake wetu kwanini msijikubali na weusi wenu uo kama wanawake wa Burundi na Soudan?
Ni wanaume ndio wamewadanganya mpaka mnasababisha watoto wa watu wanajichubua, cha ajabu wanaume nao siku hizi wanajichubua wakiamini ndio urembo
 
Dah! Umenivuruga ghafla akili yangu. 😫 Yaani hiniambii kitu kwa mwanamke mwenye weupe wa asili! Yaani mafuta yake makuu ni babycare, au family!

Ila kwa bahati mbaya ni wachache kweli.
Eti eeh wacha we utakuwa msukuma tu,, ninayo hiyo hiyo sio weupe wa kuzidi
 
Back
Top Bottom