Nani aliwadanganya Wanawake wa Kiafrika kuwa weupe ndiyo urembo?

Umesema uhalisia😍😍😍
 
Weupe asili wa kiafrika una kamn'gao flani hivi kakuvutia achana na ule wa kupakaa kemikali
Dah! Umenivuruga ghafla akili yangu. 😫 Yaani huniambii kitu kwa mwanamke mwenye weupe wa asili! Yaani mafuta yake makuu ni babycare, au family!

Ila kwa bahati mbaya ni wachache kweli.
 
Pole sana, anaweza kua mweusi usoni lakini mweupe kwenye vilivyofichwa...
 
Kwenye biashara yangu

85% ya wateja wanataka kung’aa

Wananipa mpaka order za vidonge vile vya kutakatisha mwili mzima

Hawawazi miaka 10 mbeleni.

Ila wanaume na nyingi mnachangia, akipita mdada mweupe mwenye hips mnasifia, tukipita sisi blacks Kama moja mnacheka live live kabisa.
 
Sasa leo katika mizunguko yangu nimekutana naye live. Eee bwana ni mweusi tena ana chunusi.

Nimem-block sipendi ujinga
Meaning ungekuta ni mweupe kama Mchina ungempenda na usingem-block!!!
Wanaume kama wewe ndo mnasababisha huo ujinga..
Kwa kawaida, kitu kinachotakiwa zaidi sokoni ndo huzalishwa kwa wingi!
 
She can’t be ugly online and offline😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…