Nani aliwadanganya Wanawake wa Kiafrika kuwa weupe ndiyo urembo?

Meaning ungekuta ni mweupe kama Mchina ungempenda na usingem-block!!!
Wanaume kama wewe ndo mnasababisha huo ujinga..
Kwa kawaida, kitu kinachotakiwa zaidi sokoni ndo huzalishwa kwa wingi!
sure pia anaonekana hana β€œtactis” kwani haez mwambia amtumie picha isiyo na filter??

Atakua mvulana huyu asww
 
Wenyewe wanaamini kuwa mkizima taa usiku kuna kamwanga flani wanatoa,sio wale wengine total darkness...
 
Wanalazimisha kuwa waarabu 🀣🀣🀣 Mungu amekuumba mweusi halafu unajikoroga uwe mweupe, ni kumkosoa Muumba kwakweli....kana kwamba amekosea kukuumba.

Huko dar, kuna watu ndio kazi yao kujikoroga si wanaume si wanawake, mpaka kinyaa. Mnalazimisha kufanana na waarabu, wao wameumbwa hivyo.

Aise, badilikeni wanaume wa dar+wanawake wenye hii tabia
 
Jamii mkuu.
Utaskia jamani amezaa katoto kazuri keupee. Yani ana litoto libaya jeusi.
Utasikia demu mkali ana rangi white ya mtume. Kwanza demu lenyewe jeusiii.
 
Ni wanaume ndio wamewadanganya mpaka mnasababisha watoto wa watu wanajichubua, cha ajabu wanaume nao siku hizi wanajichubua wakiamini ndio urembo
 
Dah! Umenivuruga ghafla akili yangu. 😫 Yaani hiniambii kitu kwa mwanamke mwenye weupe wa asili! Yaani mafuta yake makuu ni babycare, au family!

Ila kwa bahati mbaya ni wachache kweli.
Eti eeh wacha we utakuwa msukuma tu,, ninayo hiyo hiyo sio weupe wa kuzidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…