Nani aliwahi kuhoji haya kipindi cha Magufuli?

Mimi nadhani sio suala la kuona maana kuona hakuna maana kama hukushirikishwa katika kufikia uamuzi. Tunaona mambo mabovu yaliyoingiwa kwa vizazi vijavyo ambao watataabika na ulipaji wa mikopo hiyo. Kwa maoni yangu kabla ya jambo kuamuliwa na kuanza utejekezaji ushirikishwaji uwekwe wazi wananchi wajiamulie wenyewe kuliko kuletewa yaliyokwisha amuliwa na ambayo hata ukiona hakuna faida yoyote

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji871]Muipitie mikataba wewe na nani?

[emoji871]Una uhakika na unachokisema au unakariri kutoka KINONDONI?

[emoji871]Tupe kilichoboreshwa baada ya Magufuli kufariki zaidi ya mama yenu kuinadi nchi kwa shekeli za madarasa?

[emoji871]Ebu tuwekee mezani mkataba kati ya Chadema na wajerumani wa CDU!

[emoji871]Asilimia kubwa ya kazi zenye tija na miradi mikubwa ya kimkakati yote inayotekelezwa sasa ni ile iliyoasisiwa na JPM.

[emoji871]Mlidhani kwa kumuondoa JPM mtabadilika na kuwa Ikulu bila uchaguzi au?

[emoji871]Kwa taarifa yako hili genge lililoko sasa ni hatari kuliko mlivyofurahia.

[emoji871]Endeleeni kujifariji tu,ni furaha ya muda mfupi sana.

[emoji871]Time Will Tell
 
[emoji871]Mkuu!
Humu ndani tunayo majitu yanateseka na matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2020.

[emoji871]Umewaweka vijiweni na hawaamini kilichotokea.Hao ndio hawa unaona Post zao zikitafuta mchawi kila uchao.

[emoji871]Kwa ujumla wanateseka na machungu ya kijiweni kwa next 5Years to Go....2025.
 
Mkuu hivi hii mikataba haipelekwi mbungeni ili wawakilishi wa Watanzania nao waipitie na wajiridhishe na maudhui yaliyomo ndani ya mkataba?
 
Bora hatari hile ya mtu mmoja kufanya maamuzi magumu kuliko kuwa na wapumbavu zaidi ya miatano wasiokuwa na maamuzi ya pamoja wengine wakipinga kwa msalahi yao binafsi na wengine hawajui ata ninkwanino wanapinga. Mfano bila maamuzi magumu ya mtu mmoja mpaka leo hii tusingejenga bwawa la nyerere au daraja la tanzanite.
 
Bandari ya bagamoyo!
 
Wewe umeona mikataba sasahivi? Imewekwa hadharani?

Tunaomba tutumie nasi humu tusome hiyo mikataba .
 
Ndugu ,ili kuongoza nchi,Rais Magufuli hakuwa peke yake.Alikuwa na wasaidizi wake.Alikuwa na makamu wa Rais ambae kwa Sasa ni Rais.Alikuwa na wazir mkuu ,bado yupo . A likiwa na wazir wa fedha ,Sasa ni makamu wa Rais.Hao wote walimsaidia.Hakuongoza nchi na mama Janeti na wanawe pekee.Sasa ili tupate jibu sahihi ,hao wote wanabidi wapishe nafasi zao ili uchunguzi ufanyike Kama ulivyoomba ndugu yetu.
 
Unanunua ndege afu huna vibali vya kurusha long haulage,inakusaidia nini?

Madaraja hayajaanza kujengwa leo na hayatakaa yaishe kujengwa.

Nchi ilikuwa kwenye mkwamo mkubwa kiuchumi miaka yote 6 iliyopita na idadi ya maskini iliongezeka.
Mkuu ndege zinaruka dunia nzima kwa sasa, labda hufuatilii.

Kujengwa madaraja ni kujinyima kwa kuondokana na anasa na matanuzi, halikuwa jambo dogo kuzipata pesa.

Mkwamo wa kiuchumi upo hata dunia ya kwanza, ni masuala ya kipindi fulani cha mpito.

Maskini mmoja mmoja kuongozekana ni tatizo jingine la kidunia, sio hapa tu.
 
nani amewai kuona mkstaba wa gase ya mtwala wewe umewai kuona mkataba wa ggm,buzwagi nk?
 
Hakuna tuliposogea popote,hizo ndege zinaingiza faida kiasi gani. Kama madaraja hata Nyerere,Mwinyi,Mkapa na Kikwete waliyajenga.
 
Sawa haijajadiliwa Bungeni lkn Je haionekani? JPM hakutaka propaganda alikua ni mtu wa strategies.
 

Report ya CAG husomi afu Leo unalinganisha vitu kwa kejeli
 
Report ya CAG husomi afu Leo unalinganisha vitu kwa kejeli
Ripoti ilisomwa na kuonyesha among the things kwamba Kuna upotevu wa 1.5 trillion aliitwa akaedit lakini ilishasomwa na akafukuzwa na ikawa mwisho wa mjadala.

I think wanasema uungwana ni kuchutama ukifumwa uchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…