Nani aliwahi kuhoji haya kipindi cha Magufuli?

Wewe ndio mwehu na pumbavu!

Naimbie kipi kimebadirika sasa hivi?
Huoni kilichobadilika eti? Huoni Uhuru wa habari kiasi ambacho hakuna anayeogopa Tena kutoa habari kwa kivezo Cha wasiojulikana walioota mizizi kipindi Cha jpm.
 
Magufuli hayupo Hata mumchukie vipi Hayupo
Chukizenu hazita wasaidia Kitu
Mtatafuta kila Baya dhidi yake
lakini Yule Alikuwa Zaidi ya Rais kwa Tanzania muacheni Apumzike
Hahahaha Mungu wenu kafa mmebaki wakiwa. Nawapa pole sana wanyonge
 
Tundu Lisu alikua akipaza sauti juu ya usiri na upigwaji hela kwenye hayo manunuzi na mikataba
 
Huoni kilichobadilika eti? Huoni Uhuru wa habari kiasi ambacho hakuna anayeogopa Tena kutoa habari kwa kivezo Cha wasiojulikana walioota mizizi kipindi Cha jpm.
Mwehu kweli

Niambie ni habari ipi iliyotoka inayoweza kusababisha mtu kuingia matatani?
 
Kuna vitu ambavyo havihitaji kuona mkataba; kwa mfano bei ya ndege inajulikana duniani kote na hahihitaji mkataba. Siyo kwamba Tanzania inauziwa kwa bei tofauti na wateja wengine. Kwa vile gharama za manunuzi yale zilipitishwa na Bunge, wewe linganisha hesabu pesa zilizopitishwa na bei za ndege kutoka kiwandani ndipo ulete conclusion yako hapa tuione. Makampuni yameweka wazi bei za bidhaa zao kwa wateja wote siyo kwa serikali tu. Njia nyingine ya kujua hilo, angalia bei iliyotumiwa na makampuni mengine ya ndege kununua ndege zao ulinganishe za bei tuliyotumia sisi watanzania.Angalia KQ walitumia dola kiasi gani kwa kununua Boeing zao.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…