Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #21
Kama CCM haizalishi watu wa aina hiyo ni kwa nini wametamalaki ndani ya chama hicho??Mifumo na itikadi za CCM hazizalishi product ya "wanyanganyi na manyangau wa kuhujumu taifa hili" T
CCM watu safi, wamo wa kumwaga!. Mimi namfahamu jamaa mmoja aligombea Kawe, hakutoa hata senti moja kwa yeyote na matokeo yake alipata kura 1!.Nani ndani ya CCM anaona kutumia ghiliba,dhuluma, wizi au rushwa kupata ushindi kwenye chaguzi ni jambo baya??
Nani aliye msafi ndani ya CCM???
Usafi unazuia uchawa...CCM watu safi, wamo wa kumwaga!. Mimi namfahamu jamaa mmoja aligombea Kawe, hakutoa hata senti moja kwa yeyote na matokeo yake alipata kura 1!.
Hivyo wasafi wa type hiyo CCM wapo wengi tuu.
P
Ndugu Allen unyangau na ulafi wa Mali za umma ni hulka ya mtu, inawezekana wahuni wanatumia nembo ya CCM kama kichaka cha kuficha maovu yao binafsi, Sidhani kama miiko, na miongozo ya CCM inahalalisha "Ufisadi na Uzandiki".Kama CCM haizalishi watu wa aina hiyo ni kwa nini wametamalaki ndani ya chama hicho??
Taja ufisadi wowote ule wa mali za Umma za watanzania ambao ndani mwake hakuna wana CCM.
Mpaka leo CCM imesema nini kuhusu zile 1.5 ten zilizopoea wakati Magufuli akiwa rais???
Uchafu ndani ya CCM unaendeshwa kimfumo na wala siyo kwa kufuata tabia binafsi ya mtu
Hivi leo CCM inakosa mtu wa kumpa nafasi ya Ukatibu mwenezi wa Taifa mpaka wampe Makonda pamoja na kashfa zote zile alizonazo????
Hao CCM wasafi mbona ni kama wao wapo wachache na hao wahuni ndiyo wapo wengi?, inawezekana wahuni wanatumia nembo ya CCM kama kichaka cha kuficha maovu yao binafsi, Sidhani kama miiko, na miongozo ya CCM inahalalisha "Ufisadi na Uzandiki"
Aisee!!!CCM ni ya Wajamaa na Wakulima,
CCM wote ni ukoo wa panya. Hakuna mwenye nafuu hata mmoja.Nani ndani ya CCM hajawahi kutumia cheo chake kwa manufaa yake binafsi??
Nani ndani ya CCM anaona kutumia ghiliba,dhuluma, wizi au rushwa kupata ushindi kwenye chaguzi ni jambo baya??
Nani ndani ya CCM anayesikitika fedha za Umma zinavyokwapuliwa na wajanja wachache waliomo ndani ya Chama hicho??
Ni mwana CCM gani anayesikitika fedha za Umma kuingizwa kwenye miradi isiyo na kichwa Wala Miguu??
Nani aliye msafi ndani ya CCM???
Polepole huyuhuyu aliyepata utajiri kwa kuchukua 10% za waliokuwa wanajiuza ?Komredi Polepole na Mzee Mgaya
Wasafi waliondoka awamu ya pili. Kwa sasa kuna #wahuni, chambilecho Mh. Polepole.Nani ndani ya CCM hajawahi kutumia cheo chake kwa manufaa yake binafsi??
Nani ndani ya CCM anaona kutumia ghiliba,dhuluma, wizi au rushwa kupata ushindi kwenye chaguzi ni jambo baya??
Nani ndani ya CCM anayesikitika fedha za Umma zinavyokwapuliwa na wajanja wachache waliomo ndani ya Chama hicho??
Ni mwana CCM gani anayesikitika fedha za Umma kuingizwa kwenye miradi isiyo na kichwa Wala Miguu??
Nani aliye msafi ndani ya CCM???
Afanye kama anajikuna ajitenge na wenzieNani ndani ya CCM hajawahi kutumia cheo chake kwa manufaa yake binafsi??
Nani ndani ya CCM anaona kutumia ghiliba,dhuluma, wizi au rushwa kupata ushindi kwenye chaguzi ni jambo baya??
Nani ndani ya CCM anayesikitika fedha za Umma zinavyokwapuliwa na wajanja wachache waliomo ndani ya Chama hicho??
Ni mwana CCM gani anayesikitika fedha za Umma kuingizwa kwenye miradi isiyo na kichwa Wala Miguu??
Nani aliye msafi ndani ya CCM???
Je, Utampata wapi Malaika kwenye Ngome ya Mashetani?Nani ndani ya CCM hajawahi kutumia cheo chake kwa manufaa yake binafsi??
Nani ndani ya CCM anaona kutumia ghiliba,dhuluma, wizi au rushwa kupata ushindi kwenye chaguzi ni jambo baya??
Nani ndani ya CCM anayesikitika fedha za Umma zinavyokwapuliwa na wajanja wachache waliomo ndani ya Chama hicho??
Ni mwana CCM gani anayesikitika fedha za Umma kuingizwa kwenye miradi isiyo na kichwa Wala Miguu??
Nani aliye msafi ndani ya CCM???
Sasa napendekeza chama kifutwe kwani hakina tija kwa taifa wala wao wenyewe 🤪Hajazaliwa na sidhani kama atazaliwa ndani ya chama hiki aliye msafi!
Watakuwaje wasafi wakati hawataki KATIBA??Nani ndani ya CCM hajawahi kutumia cheo chake kwa manufaa yake binafsi??
Nani ndani ya CCM anaona kutumia ghiliba,dhuluma, wizi au rushwa kupata ushindi kwenye chaguzi ni jambo baya??
Nani ndani ya CCM anayesikitika fedha za Umma zinavyokwapuliwa na wajanja wachache waliomo ndani ya Chama hicho??
Ni mwana CCM gani anayesikitika fedha za Umma kuingizwa kwenye miradi isiyo na kichwa Wala Miguu??
Nani aliye msafi ndani ya CCM???
Unaweza kumpata kwa imani na iwapo kafika kuwaokoa shetani wenyewe 🤣🤣Je, Utampata wapi Malaika kwenye Ngome ya Mashetani?
Shetani hana urafiki na wanafiki...Unaweza kumpata kwa imani na iwapo kafika kuwaokoa shetani wenyewe 🤣🤣
Ndugu Allen sipo kwenye koma na sijawai kuwa huko, Mungu epusha mbali, nipo vizuri, " Upigaji upo na upo kweli kweli" lkn sio Manifesto ya Chama, huo ni ugonjwa unaohitaji tiba, Japo zama zimebadilika kiuchumi na kisiasa, lkn bado fikra za kijamaa na Ukulima zinaishi miongoni mwa Watanzania.Hao CCM wasafi mbona ni kama wao wapo wachache na hao wahuni ndiyo wapo wengi?
Kimantiki walio wengi ndiyo huwa utambulisho wa kundi.
Aisee!!!
Wewe jamaa ulikuwa kwenye koma ndiyo Leo umezinduka???
CCM iliacha kitambo sana kuwa chama cha kijamaa na wakulima. Sasa hivi CCM ni chama cha wapiga Dili.
Mtu yoyote makini hawezi kuwa chawa!, huyo jamaa sio chawa na hajawahi kuwa chawa!, jamaa ni very objective, kwenye mazuri anapongeza na kwenye mabaya anakosoa!, chawa kamwe hawezi kukosoa!.Usafi unazuia uchawa...
Huyo jamaa yako unayemsema ni chawa balaa na huwa hajali anasema nini ili mradi tu kama anachosema kinawafurahisha mabosi wake wa CCM.