Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #21
Kama CCM haizalishi watu wa aina hiyo ni kwa nini wametamalaki ndani ya chama hicho??Mifumo na itikadi za CCM hazizalishi product ya "wanyanganyi na manyangau wa kuhujumu taifa hili" T
Taja ufisadi wowote ule wa mali za Umma za watanzania ambao ndani mwake hakuna wana CCM.
Mpaka leo CCM imesema nini kuhusu zile 1.5 ten zilizopoea wakati Magufuli akiwa rais???
Uchafu ndani ya CCM unaendeshwa kimfumo na wala siyo kwa kufuata tabia binafsi ya mtu
Hivi leo CCM inakosa mtu wa kumpa nafasi ya Ukatibu mwenezi wa Taifa mpaka wampe Makonda pamoja na kashfa zote zile alizonazo????