Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Tumelala sana, yani hata pastor aliejichubua anatutapeli.....
Alijuwa wale ni wajinga,pesa kawapiga wake za watu wakawala vile vileMhuni Promax yule.
Alikuwa Anachamba watu popote hata akiwa madhabahuni.
Anaongea mambo ya chupi na shanga popote.
Yaani kwa kweli tulipatikana.
Iła kwa Hela amejua kuzipiga.
Mamilioni ya Hela.
Sijui yeye na wale vijana wake wavaa macheni walikuwa hawapigi hesabu za mbele kuwa mchezo huu mwisho wake utakuwa lini? Na utakuwaje?
Na Kwamba hawakufikiri kuwa mwisho utakuwa mbaya?
Dhamiri zao zilikufa kiasi cha kushindwa kujua kuwa Hela huwa ni adimu na hupatikana kwenye mazingira magumu na Kwamba hizi tunazowaibia kuna wakati wowote kitanuka?
Yalikua yana MbwembweMwarabu Fighter na Team yake imekula kwao.
Ashakum si matusi, hapo unaongelea imani ya kikristo iliyo letwa na wazungu Africa. Hutopata dalili hizo ulizotaja katika dini ya kiislamu, ila tu uwe tayari kuuelewa Uislamu tofauti na ule wanaouongelea wazungu.Unajua imani nyingi zililetwa kiujanja ujanja, lengo kuu likiwa ni kutawala watu, pili ilikuwa kupunguza unyama/ukatili uliokuwa ukifanyika miaka hiyo kwa kuwapa imani ya kusadikika.
Nani amekuambia amekimbia nchi! Alipokuja hakukujulisha na sasa amekwenda kuchukua kikosi kazi kije kiyamalize matatizo, subiri utaona.Taarifa za uhakika ni kwamba Kakimbia nchini baada ya kuambiwa kuwa angeweza Kukamatwa hasa baada ya baadhi ya Waumini waliokuwa Wakisali pale Kwake kulalamika kuwa Wametapeliwa nae sana huku Wengine wakitaka Kumshtaki kwa kusababisha Ndoa zao Kuvunjika na Familia zao kuwa katika Uadui na Chuki kubwa kutokana na Mahubiri yake ya Chuki na Fitina.
Na GENTAMYCINE nauliza kwanini System ya nchi haraka sana haikuamua Kumchunga ili asikimbie kama alivyofanya?
Biashara ya utumwa ililetwa na nani?Ashakum si matusi, hapo unaongelea imani ya kikristo iliyo letwa na wazungu Africa. Hutopata dalili hizo ulizotaja katika dini ya kiislamu, ila tu uwe tayari kuuelewa Uislamu tofauti na ule wanaouongelea wazungu.
Uislamu umeanza (not exactly umeanza) Arabuni sehemu ambayo haikuwa hata na serikali, na wala haijawahi kuwa biashara toka enzi hizo mpaka leo hii, na wala haujawahi kutumika kama nyenzo ya kuwatawala watu, na wala huijawahi kutumia force kusilimisha watu walio chini ya tawala za kiislamu. Contrary na Ukristo wa warumi, na kumbuka kwamba ukristo wote uliopo duniani hivi sasa umetoka kwa warumi, hakuna ukristo unotoa asili yake Israel.
Ila huo Uislamu wa kweli ndo unaoujua? au we unaujua Uislamu wa kigaidi ulioaminishwa dunia na wazungu mwishoni mwa miaka ya tisini?
Morons mtapungua lini Duniani?Nani amekuambia amekimbia nchi! Alipokuja hakukujulisha na sasa amekwenda kuchukua kikosi kazi kije kiyamalize matatizo, subiri utaona.
Na yule wa Arusha naye amekimbia nchi? Yupo na atakuwepo.Kakimbia nchi acha Kunibishia GENTAMYCINE sawa? Narudia tena kukuambia kuwa Kiboko ya Wachawi hayupo Nchini.
Makanisa yote yamejaa ujanjaujanja tu KKKT wamegawanyika sasa hivi Kuna KKKT ya Afrika Mashariki lakini wanavyoniacha hoi ni yale mashule na vyuo walivyojenga kwa sadaka za waumini masikini lakini watoto wa waumini masikini hawaruhusiwi kusoma bure,hapo huwa nachoka sana.Eti nianze kumkimbilia kakobe ana miujiza,wakati kakobe wakati anauza kanda za mziki kko nlikuwa namuona,hyo miujiza aitoe wapi
Kaja mwamposa anafungua kanisa kinondoni alikuwa na wajanja fulani wakatengana akahamia sinza akiwa solo artist naye tunamuona eti ana miujiza
😄
Nchi imejaa wjngaaa wjngaa
Ova
Kwani Mapadri ndiyo Wana eleweka basi,wote walewale tu;Padri anasuluhisha kesi za ndoa na yeye hajawai kuoa,sasa kama siyo usanii ni nini??Gamanywa sijawahi kumwelewa. Hata anavyofundisha ni kama yeye mwenyewe hajua na anababaisha sana. Ila sasa wafuasi wake huwambii kitu. Yeye na Mzee wa Malango na Mzaliwa wa kwanza ni Bla bla tupu.
Na wale wanaowafuata wakina Sheikh Sharif Majini,Sheikh Kipozeo, Sheikh Mwaipopo,nk,wwnakaa upande gani!Aahaaaaa
Padre naye muulize swali linalohusu Biblia.....utapigwa na butwa majibu atakayo kupa. Utadhani kuna Biblia nyingine yeye anasomaKwani Mapadri ndiyo Wana eleweka basi,wote walewale tu;Padri anasuluhisha kesi za ndoa na yeye hajawai kuoa,sasa kama siyo usanii ni nini??
Sasa hivi kuna Dr SuleNa wale wanaowafuata wakina Sheikh Sharif Majini,Sheikh Kipozeo, Sheikh Mwaipopo,nk,wwnakaa upande gani!