Nani aliyesema mafisadi wanaweza kutaka kiongozi mwenye kuwadhibiti? Kati yao, nani atake tena kiongozi kama Magufuli?

Nani aliyesema mafisadi wanaweza kutaka kiongozi mwenye kuwadhibiti? Kati yao, nani atake tena kiongozi kama Magufuli?

sasa si ndivyo siasa ilivyo kila moja anakua na kipaumbele chake 🐒

kufanikiwa au kafeli kwenye hizo interestes , hilo linabaki kwenye mtazamo na maoni yako ndrugo mchambuzi 🐒

🤣 sasa interests za Dr.SSH unaniuliza mimi tena...

wait next yr utaona interestes za DR SSH dhahiri shahiri ...
na for sure utafurahi na hivi vilio vya umeme sijui garama za maisha zitakua kimya bila tashwishwi yeyote 🐒
Nitakuwa nimekufa tayari. Biashara yangu inategemea umeme, maji.

Shida iko wapi kunipa umeme leo, maji, kupunguza bei leo?
 
Nitakuwa nimekufa tayari. Biashara yangu inategemea umeme, maji.

Shida iko wapi kunipa umeme leo, maji, kupunguza bei leo?
kwa kipindi hiki kifupi tumia umeme mbadala solar system au generator.

hata hivyo ni kwa muda mfup tu...

R.I.P Laigwanan comrade EL
 
kwa kipindi hiki kifupi tumia umeme mbadala solar system au generator.

hata hivyo ni kwa muda mfup tu...

R.I.P Laigwanan comrade EL
Sina uwezo, pesa. Nafanyaje? Biashara yangu inakufa, nagombana na mke wangu sababu ya kipato, nakuwa kichaa.

Mke anachukua nyumba, singo maza. Shida ilikuwa umeme, ikasababisha kupotea ,ajira. imesababisha yote haya.
Nafanyaje?
 
sasa si ndivyo siasa ilivyo kila moja anakua na kipaumbele chake 🐒

kufanikiwa au kafeli kwenye hizo interestes , hilo linabaki kwenye mtazamo na maoni yako ndrugo mchambuzi 🐒

🤣 sasa interests za Dr.SSH unaniuliza mimi tena...

wait next yr utaona interestes za DR SSH dhahiri shahiri ...
na for sure utafurahi na hivi vilio vya umeme sijui garama za maisha zitakua kimya bila tashwishwi yeyote 🐒
Nchi yoyote inayojitambua inatakiwa kuwa na vipaumbele vinavyoeleweka, vilivyo wazi, vinavyogusa maisha ya wengi.

Vipaumbele vyetu vinatakiwa viwe umeme, mmeuzima, maji hamtaki tupate, mfumuko wa bei, bei kubwa. tulishe familia zetu nini.

Mazingira gani tufanye biashara sisi machinga, mama ntilie. Tupate kipato?
 
..Mafisadi pia hawapendi KATIBA BORA inayodhibiti madaraka yao.

..Pia hawapendi BUNGE na MAHAKAMA zinazofanya maamuzi bila kuingiliwa.

..Zaidi hawapendi TUME HURU ya uchaguzi.

Amini husiamini ila huu ulioandika hapa ndio Ukweli mchungu.

Serikali nyingi duniani hata zile ambazo sio za kisiasa wanaongozwa na falsafa hii ila wameibatiza jina “biashara huria.

Lakini acha tuendelee kujifanya vipofu maisha yasonge na drama in the name of siasa zipate watu.

Kila kura ina kula ndani yake na kinyume chake na vijana wamegundua hilo ni mwendo wa uchawa tu sasa.
 
Back
Top Bottom