Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

Mkoa wote wa Mara, Wachagga, Wamaasai
Sio mkoa wote wa Mara, Singida na Manyara mbona hujataja. Kuna memba mmoja humu ametoa hoja ya msingi sana. Karne ya 21 vijana wa Tanzania wanajadili mikoa na ukabila!!!? Kweli tunajadili mambo madogo kama haya wenzetu wako kwenye nanotechnology, wanajadili masuala ya kitaifa sio ukabila, sio vyama, sio ushabiki kwa waliotufikisha hapa. Wanajadili mustakabali wa Taifa, wengi wetu humu ni waliopata bahati ya kusoma na kuwa na exposure japo kidogo. Wengi wenzetu hawakupata bahati hiyo ingawa walikuwa akili nzuri tu darasani. Sisi tunajadili fulani hazai, fulani katelekeza mtoto n.k. Ikifika masuala ya Kitaifa tunaingiza uvyama, ukabila na ukanda. Mwelekeo hakuna
 
Hahahahahaa yaani huo ndio ukweli mtupu mura sisi wasaghane hawatuendeshi hata kidogo akizingua anakula kibuti mwenzake anachukua siti...

Anabaki analialia tu
 
Sasa 'mura' kwa nini usiitaje tu moja kwa moja hiyo serikali kwa kuua viwanda ila comment yangu ndiyo umeiona kubebea bango la wananchi kuacha kulima kahawa..?
 
Tena nyie Wairege ndio kumbavu kabisa, wabaguzi sana, ukienda pale Nyamwaga hakuna mnyabasi wala koo nyingine anafanyia biashara, ukifungua biashara hupati wateja, ukitembea vijijini vyenu huko ajenda sasa mnataka mbunge mwirege, hamjali hata uwakilishi wa Heche, nyie ndio mnaishi karne ya 20.
 
Sasa 'mura' kwa nini usiitaje tu moja kwa moja hiyo serikali kwa kuua viwanda ila comment yangu ndiyo umeiona kubebea bango la wananchi kuacha kulima kahawa..?
Sorry mkuu, kuna watu kwenye comments za mwanzoni walinitoa kwenye reli. Kahawa tuliacha watu wakaanza kulima bangi kupeleka kenya ukivuna mara moja unapaua nyumba ya bati mgongo wa tembo. Ingawa sijawahi jaribu hiyo biashara ila nilisomeshwa kwa kahawa shule za private miaka hiyo. ila kwa mkoa wa Mara watu wa Tarime ni wapambanaji sana kimaisha. Karibuni Tarime kwa Mh (Esther na Heche)
 
Wasiojali ni wananchi au wanaCCM. Lengo la CCM kugawa jimbo la uchaguzi kuwa mawili halikutimia, ilikuwa hesabu ya kipumbavu kwelikweli. Sasa utalawalazimisha wanyabhasi wakakae Nyamwaga au Itiryo? mbona Nyamongo kuna mchanganyiko wote na hawapigani? Mbona sisi wengine tumeoa kwa watimbaru bila shida yoyote? kujadili ukanda, ukabila na koo ni utoto, mwisho tutaanza kujadili familia huku wanasiasa wakiendelea kututumia. Tujadili mambo ya msingi ya kitaifa bila kuingiza utoto na uvyama vinginevyo tutabaki kushabikia tu.
 
Usidanganye watu wakurya hawapo hivyo. Wakurya hawana tabia ya kuongelea kwapani. Lao ni ndio au hapana na hawabebi umbea Wala majungu. Hao unao wasema wametoka Tarime au? Think again!
Ni kweli unajua kwa sababu ya umaarufu wa wakurya, kuna watu wanafikiri kuwa kila anayetoka Mara ni mkurya. Hata mtu akisema anatokea Musoma wao wanajua ni mkurya.
 
Wairege wana tabia ya ubaguzi sana nimekaa nyamwaga mriba kemendi ni shida tupu
 
Jamaa huwa hawana ubinafsi na choyo.ndio maana hawakuipendelea mikoa yao.lkn la pili hawana maarifa ya kimaendeleo hataka wanakuwa na pesa huishia kujenga nyumba basi.utakuta mkurya nyumba nzuri lkn mpangilio ndani ya nyumba unakuwa mbaya au sebule haina muonekano mzuri.ila ni watu poa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…