Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

Daaa!! weee! jamaaa!! midevu yooote hiyo kuumbe weye ni ''Yego Mwamba?'' Huwezi kudadavua hivi bana weee!! sasa fanyeni hivi nawapa dawa changanyeni DAMU nzuri za , kutoka, moshi, arusha! kenya si karibu tu hapo? sukuma land, uone!!
Aseee man hebu jifunze kwa kuishi maeneo tofauti tofauti nchini.

Arusha kuna wajita wengi tu walioOA wachaga, wajaluo, wapale na hata lile kabila pendwa kutoka hapa karatu ila sasa, hamna kitu aseee, ni bora aliyeoa mchina.

Tatizo siyo kuOA kabila flani, mwana hata wachaga wanaoana wao kwa wao but hakuna ubinafsi, ila hii ni roho mbaya kama waliyo nayo ndg zangu wa hapa pemba kwa wageni mnaokuja.
 
@Gentamycin
 
Binafsi nipo musoma kikazi huu mwez wa 2 sasa lakini mazingira ya musoma mjini naona walau yana unafuu sio kama manispaa nyingine
Kama tabora songea sumbawanga lindi mtwara babati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimsahau NGULI WA RASILIMALI WATU Dr.Fred Mwita alikuwa ZANTEL,VODACOM,SBL sasa AGAKHAN,Mkurugenzi wa TBC Dr.Ayub Rioba na Mfanyabiashara Gachuma,La Kairo Lameck Airo bila kumsahau mwenye mabasi ya Zakaria
Ghitana chacha ziwa lote lakwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…