Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Ni yeye na ndugu zake sijui jirani yao lakini wewe mpenzi hakuna [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] kwakupiga mizinga yego yego [emoji28] [emoji28] [emoji28]Umepita mulemule[emoji23] halafu eti akaja jf akasema ameniacha kwa sababu namuomba hela[emoji23] [emoji23] yaan ni wambea wa kiwango cha lami..ubahili usipime..coz toka nilikuwa na mahusino nae sikuwahi kurelax