Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

Umepita mulemule[emoji23] halafu eti akaja jf akasema ameniacha kwa sababu namuomba hela[emoji23] [emoji23] yaan ni wambea wa kiwango cha lami..ubahili usipime..coz toka nilikuwa na mahusino nae sikuwahi kurelax
Ni yeye na ndugu zake sijui jirani yao lakini wewe mpenzi hakuna [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] kwakupiga mizinga yego yego [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Yaan acha tu,ulikuwa rafiki yake nn ?mbona kama unamzungumzia[emoji23] [emoji23]
 
Nimecheka kwa sauti[emoji23] [emoji23] kuna mtu nataka nimtag lakini nahisi ataniroga akienda kwao mara.
Maana sio kwa mapenzi yale[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wangenijua nazani wangenifuata na panga wanigeje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wangu nilimchamba amenikasirikia balaa kanuna sijui siku akikutana na Mimi atanifanya nini aisee
 
Unajua unaweza zani umekutana na maimai kumbe kanda maalumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndiyo wake zao wanachepuka sana, wenyewe wanajua kulenga tu
Wao ni kuingiza tu kwa nguvu naole wako hutaki anakubaka kabisa wala hajali nafikiri bangi wanazovutaga ndo zimeleta hyo shida, plus hasira yani akikubusu ni anang'ata ulimi wako
 
Hafu sasa ubabe mwingine hauna mantinki bora wangeuweka hata kwenye mambo ya maendeleo mtu anajifanya mbabe haeshimu familia kisa eti kidume. Malezi yakujifanya vidume yamewaharibu hao, hafu siku hizi wanapenda wanawake wa makabila mengine
Ndiyo hivyo wanakimbia wakwao, yaani vitabia vya ajabu ajabu sijui wakoje dada zao nao wababe kama kaka zao, dada 1 alikuwa anamwambia wifi yake siye huku mke hupigwa mpaka anabiki uchi, mweee nilichoka[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kama chizi kwa maisha gani sasa
 
Kwa ujumla mkoa wa Mara una makabila mengi,wakurya,wajita,wajaluo na wazanaki na waikizu.wakurya wana koo nyingi na ndilo kabila kubwa mkoa wa Mara.
Kimaendeleo Tarime iko juu INA wasomi,matajiri,mashule n.k.mji wa Tarime umekuwa kutokana na nchi ya Kenya,na ndio maana wakurya wengi wanapajua Kenya vizuri kuliko Tanzania.ila kwa ujumla Nyerere alirudisha nyuma maendeleo ya wana Mara.
 
Ndiyo hivyo wanakimbia wakwao, yaani vitabia vya ajabu ajabu sijui wakoje dada zao nao wababe kama kaka zao, dada 1 alikuwa anamwambia wifi yake siye huku mke hupigwa mpaka anabiki uchi, mweee nilichoka[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kama chizi kwa maisha gani sasa
Sikuhizi wanapenda wachaga sana, yani hivi vtabia vya ajabu visivo na kichwa wala miguu ndo wanaviweka mbele, sasa na kama Dada zao ni hivo mbona ni shida kubwa, sasa unampiga mke had anabaki uchi si ujinga huo tabia hzo mbaya waoane wao wenyewe sio kutuletea makabila megine.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] anang'ata ulimi duu, yawezekana bangi wavutazo wazazi kabla hawajazaliwa zinawa haribu wakiwa tumboni mwa mama zao
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yani hawa watu wa mkoa wa Mara ni kiboko aisee mtu anakuwa na hasira yakupigana hovyo eti ndo uanaume huo.
 
Sikuhizi wanapenda wachaga sana, yani hivi vtabia vya ajabu visivo na kichwa wala miguu ndo wanaviweka mbele, sasa na kama Dada zao ni hivo mbona ni shida kubwa, sasa unampiga mke had anabaki uchi si ujinga huo tabia hzo mbaya waoane wao wenyewe sio kutuletea makabila megine.
Sasa tumesha wajua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni yeye na ndugu zake sijui jirani yao lakini wewe mpenzi hakuna [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] kwakupiga mizinga yego yego [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hiyo ilinitokea mm bwana,alipatwa na tatizo la kifamilia basi ikawa ndo sababu,ukipiga simu hapokei ,nikamfuata akaniambia et kwa sasa hataki kuongea na mtu tofauti na ndugu zake...kila kitu kwake ,na najua yupo huku nikwambie tu wwe kaka ulinichosha kwa kweli ,sio kwa stress zile,
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yani hawa watu wa mkoa wa Mara ni kiboko aisee mtu anakuwa na hasira yakupigana hovyo eti ndo uanaume huo.
Kuna mama 1 alizaa na mkurya jamani yule binti, tabia zake kama kichaa arudi usiku usimfungulie mlango , anavunja mlango siku nimemuona niliachama [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hiyo ilinitokea mm bwana,alipatwa na tatizo la kifamilia basi ikawa ndo sababu,ukipiga simu hapokei ,nikamfuata akaniambia et kwa sasa hataki kuongea na mtu tofauti na ndugu zake...kila kitu kwake ,na najua yupo huku nikwambie tu wwe kaka ulinichosha kwa kweli ,sio kwa stress zile,
Ndivyo walivyo hao watu mtu aliye na wahuko ndiyo stress zake [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Kuna mama 1 alizaa na mkurya jamani yule binti, tabia zake kama kichaa arudi usiku usimfungulie mlango , anavunja mlango siku nimemuona niliachama [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kuna Dada naye alizaa na mkurya anapiga mke, ingawa ni mjamzito akimfungia mlango anapandia darini hajali kweli bange sio nzuri kabisa.
 
Back
Top Bottom