Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

Wewe ungesema watu wa Musoma vijijini hawaelewani. Maana hao wote kwao ni Musoma Vijijini.

Muhongo, Maswi, Werema na Mkono wote ni wa Musoma vijijini na mbunge wao alikua Mkono kabla hawajaligawanya jimbo hilo.

Watu wa Serengeti huna haja ya kuwalaum maana serikali mdio haikufanya mgawanyo sahihi wa rasilimali, Mbuga iko Serengeti ila makao makuu yakawa Arusha.

Watu wa Arusha wakaendelea kwa kutumia mgongo wa watu wa Serengeti.

Tatizo la mkoa wa Mara ni unequal distribution of resources. Mkoa wa Mara ni mkoa tajiri, una dhahabu na madini mengine karibu kila kijiji, una ziwa, una mbuga kubwa kuliko zote Afrika.

Cha ajabu, Dhahabu yote haiwasaidii watu aa Mara, migodi ya kihuni kama Meremeta imewaibia wana Mara, North Mara kila mtu anajua, Serikali ikaua viwanda vyote vya samaki, wao watauza wapi samaki? Wajita na wakwaya wamebakia kua na majungu tu maana hawana kazi nyingine ya kufanya.

Serengeti haiwasaidii wana serengeti, mbuga inayoingiza 80% ya mapato ya utalii Tanzania, cha ajabu wanaofaidika nayo ni watu wa Arusha na Kilimanjaro. Hata chuo kimoja cha utalii cha serikali cha ngazi ya cheti serikali haikuwajengea wakazi wa serengeti, vyote viko Arusha na Kilimanjaro.

Watu wa Mara hasa Serengeti na Tarime wana ardhi nzuri ya kulima, wanalima misimu 2 kwa mwaka lakini hawana masoko, wakitaka kuuza Kenya serikali haitaki, wanakua hawana namna zaidi ya wizi wa ng'ombe.

Serikali ndio imechangia kuua mkoa wa Mara. Watu wa Mara inabidi tuwalaum wenzetu waliotangulia kupata fursa kisha hawakuendeleza mkoa wetu.

Watu wengone wakipata uwaziri wa maji tu mikoa yao inakua na maji hadi ya kuogeshea kuku, urais ndio balaa.

Watu wa Mara tujifunze. Ukipata fursa itumie.
Mbunga huwa sielewi

Sent from my HTC Desire 526G dual sim using JamiiForums mobile app
 
I pity that guy, he had a very terrible partner!

No wonder your relationship was a roller coaster!
Naona unawashwawashwa na mm mkuu,au ni ww nn?[emoji23]
Watu wa mara badilikeni na muache kusingizia et maendeleo yanazuiliwa na wanawake(shame on you) na sikuzote mabadiliko yanaanzia nyumbani,sasa nyie endelezeni command kwa wanawake mtegemee maendeleo,
Pia acheni ubinafsi usiokuwa na maana
 
Oh come on, it can't be me!

I don't go out with random girls!

Ninachoona hapa ni kwamba umeamua kutoa frustrations zako za kupigwa kibuti.

Sasa bahati mbaya umepigwa kibuti na jamaa mmoja, then umechukia mkoa mzima wa Mara.

Women put emotions before facts, I can feel your pain!
 
Sina maumivu yeyote coz sikuwa deep kiivyo unavyodhani ww,na ningekuwa na tabia unazosema nisingekuwa nafunga ndoa next month kaka,nilijaribu tu kuwaelezea kuwa watu wa Mara badilikeni kila sector mpo hovyo,na muache kutafuta mchawi wa maendeleo yenu ni nyie wenyewe,
 
Ungekuwa unanifahamu kiundani wala usingedhubutu kutamka hayo maneno,but kutokana na ww ni mtu wa Mara wala sishangai..
 
Sina maumivu yeyote coz sikuwa deep kiivyo unavyodhani ww,na ningekuwa na tabia unazosema nisingekuwa nafunga ndoa next month kaka,nilijaribu tu kuwaelezea kuwa watu wa Mara badilikeni kila sector mpo hovyo,na muache kutafuta mchawi wa maendeleo yenu ni nyie wenyewe,
Nice, ulifaa kutoa ushauri generally. Tatizo ni pale uliipoanza kutuelezea matatizo ya ex wako, alafu bado unalalamika kwamba yeye hana siri.

Hongera kwa kuolewa, nikaribishe nije kupiga ubwabwa!

Watu wa Mara tunapenda pilau pia!

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji23] [emoji23] utapata kadi isijali
 
Nice, ulifaa kutoa ushauri generally. Tatizo ni pale uliipoanza kutuelezea matatizo ya ex wako, alafu bado unalalamika kwamba yeye hana siri.

Hongera kwa kuolewa, nikaribishe nije kupiga ubwabwa!

Watu wa Mara tunapenda pilau pia!

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Jaribuni pia kupunguza command kitandani[emoji6]
 
Jaribuni pia kupunguza command kitandani[emoji6]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Bado hujaelewa, inawezekana ulikutana na jamaa mmoja akaharibu kazi. Ila haimaanishi watu wa Mara wote wako hivyo!

wakurya tuko romantic as f@ck!

[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Kila la kheri, ila mkigombana usije kumsema kama ulivyomsema ndugu yangu wa Mara!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Huyo alizidi,halafu anjisikia as if ni milionaire,kumbe hamna kitu,nilijaribu kwenda vile anavyotaka but nilikuja kujua habadiliki kamwe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Bado hujaelewa, inawezekana ulikutana na jamaa mmoja akaharibu kazi. Ila haimaanishi watu wa Mara wote wako hivyo!

wakurya tuko romantic as f@ck!

[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Yupo hovyo kabisa kitandani,kwanza nilidhani ni mzaramo(joke)jins alivyo mlegevu
 
Nyie mnaotusema vibaya.... hahahaha Nyamongo mojaaaa. Lete vijiji vyako unavyovijua nilinganishe na vijiji vyangu viwili vya Nyangoto na Kewanja. Kwa wakurya wenzangu.

Picha kwa picha.

Lete vijiji tu tuone nyie mnaodai hakuna development.
 
Sina maumivu yeyote coz sikuwa deep kiivyo unavyodhani ww,na ningekuwa na tabia unazosema nisingekuwa nafunga ndoa next month kaka,nilijaribu tu kuwaelezea kuwa watu wa Mara badilikeni kila sector mpo hovyo,na muache kutafuta mchawi wa maendeleo yenu ni nyie wenyewe,
pole kwa kibuti Toto zuri..
 
Hiyo ilinitokea mm bwana,alipatwa na tatizo la kifamilia basi ikawa ndo sababu,ukipiga simu hapokei ,nikamfuata akaniambia et kwa sasa hataki kuongea na mtu tofauti na ndugu zake...kila kitu kwake ,na najua yupo huku nikwambie tu wwe kaka ulinichosha kwa kweli ,sio kwa stress zile,
Sasa kama ndugu zake ndio wanampa furaha kwanini asiongee nao??

Wewe ulikua kwa ajili ya matumizi tu
 
Wakurya acheni waendelee kubaki hivyo hivyo, hawa jamaa hasa wanaume wanajifanyaga wao ndo wanaume kuliko wanaume wengine, utawasikia wakijigamba wanaume makabila mengine ni wanawake type 2. Sasakwa akili za kuobgeza makali ya mapanga na shoka kwajili ya kufyekana akili ya kutafuta hela kwajili ya maendeleo itoke wapi sasa..!! Waacheni waendelee kuwa hivyo hvyo na ubabe wao wanaume wenzao wanajivuna kwa kushusha mijengo ya maana makwao wao na vijibyumba vyao. Mimi hao jamaa siwapendi kinoma. Tulipokuw boarding yaani walikuw wameteka chamber nzima wakiita kuwa special Hyper chamber.. yaani hawa jamaa mm sishangai kusikia wanaendelea kuwa kama walivyokuwa 2000
Hahahaha wanaume waliteka chemba zima, watoto wa kike mkabaki mnalialia tu
 
Back
Top Bottom