Nani aliyewaaminisha wabongo kwamba azuma( azithromycin) ni dawa ya magonjwa ya ngono

Strong ladg

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
1,357
Reaction score
3,114
Mtu anaenda hospital labda ana shida ya kukohoa au shida nyingine ya mfumo wa upumuaji, daktari anamuandikia Azithromycin au Azuma kama tunavyoita huku mtaani,kwa sababu ni dawa nzuri sana ya magonjwa ya mfumo wa hewa.

Mgonjwa akiona kapewa Azuma anakataa au anachukua ila akifika nyumbani hatumii,anaenda kununua dawa anayoijua mwenyewe jambo linaloathiri matibabu yake. Hii ni kwa sababu,mgonjwa anaamini daktari kampa dawa ya magonjwa ya ngono na sio dawa ya ugonjwa anaoumwa yeye. Hizi stori nimeziskia sana, imebidi nijiulize, hii imani ilitoka wapi?

Azithromycin sio dawa chaguo la kwanza la kutibu magonjwa ya ngono na kuna magonjwa mengi ya ngono ambayo Azuma haitumiki kabisa katika matibabu yake.

Ilikuwaje sisi tukahusianisha Azuma na magonjwa ya ngono kwa kiwango hicho?
 
Ila U.T.I ni balaaa mazee
AZUMA sio daya ya UTI wala dawa ya Kwanza ya magonjwa ya zinaa( japo inaweza kuwa alternative kama mbadala WA Doxycycline ) unless umefanya kipimo kinaitwa culture and sensitivity kimeonesha kuwa AZUMA inaweza kukutibu

AZUMA imetengenezwa Kwa ajili ya magonjwa kama

1.Pneumonia na baadhi ya respiratory tract infections
2.Atypical pneumonia
3.Chlamydia na baadhi ya STI( kama alternative ya Doxycycline)
4.Baadhi ya skin/soft-tissue infections
5.Baadhi ya ENT infections
6.pia Kwa typhoid inafanya kazi
 
Ahsante kwa upembuzi

Ila U.T.I inakaba koo na kuzuia upumuaji na ina mafua makali balaa
 
Wengine kwenye matibabu tunajiamulia tu

Binafsi nikipatwa vialeji naweza nikanywa kichupa kizima cha cetirizine once a day
Nikiwa na maumivu naweza nikameza panadol 2×4 ama 5 kwa siku 😁
Nikipatwa kiungulia naweza kumeza pantoprazole 4 kwa pamoja

Nilishawahi kujihisi mwili hauna maji nikajipachika RL 3 😁

Nimeshashuhudia mtu anatumia doxycycline kujitibu gono, azuma na ceftriaxone injection
Kuna wengine wanatumia penadur injection

Nafikiri dawa nazo hizi kuna kitu imani kwamba mtu utapona tu

mshamba_hachekwi ukiumwa si unafanya kama mimi daktari wako?
 
AZUMA sio daya ya UTI wala dawa ya Kwanza ya magonjwa ya zinaa( japo inaweza kuwa alternative kama mbadala WA Doxycycline ) unless umefanya kipimo kinaitwa culture and sensitivity kimeonesha kuwa AZUMA inaweza kukutibu

AZUMA imetengenezwa Kwa ajili ya magonjwa kama

1.Pneumonia na baadhi ya respiratory tract infections
2.Atypical pneumonia
3.Chlamydia na baadhi ya STI( kama alternative ya Doxycycline)
4.Baadhi ya skin/soft-tissue infections
5.Baadhi ya ENT infections
6.pia Kwa typhoid inafanya kazi
Mtaalam dox ndio mbabe wa UTI?
 
Wengine kwenye matibabu tunajiamulia tu

Binafsi nikipatwa vialeji naweza nikanywa kichupa kizima cha cetirizine once a day
Nikiwa na maumivu naweza nikameza panadol 2×4 ama 5 kwa siku 😁
Nikipatwa kiungulia naweza kumeza pantoprazole 4 kwa pamoja

Nilishawahi kujihisi mwili hauna maji nikajipachika RL 3 😁

Nimeshashuhudia mtu anatumia doxycycline kujitibu gono, azuma na ceftriaxone injection
Kuna wengine wanatumia penadur injection

Nafikiri dawa nazo hizi kuna kitu imani kwamba mtu utapona tu

mshamba_hachekwi ukiumwa si unafanya kama mimi daktari wako?
alooooo hapa umetisha mwanetu, nahisi mwili ukiona unaumwa unaanza kuogopa😆,,,, mi kunasiku nilijikanyaga huko nikapiga zangu metro 10 hata sijui nilikua natibu nini ila naamini nilifyekelea mbali tatizo langu🤭😆
 
Metro 10? Hii ni too risk usifanye hivi unaweza kufa 🙌

Metro najua tumetumia sana kwa imani kwamba hupati mimba baada ya sex ya kavu kavu ... lakini najua huwa hazizidi 4 + maji lita 3 😂

Mwili wangu unanijua vizuri
 
Back
Top Bottom