Nani aliyewaaminisha wabongo kwamba azuma( azithromycin) ni dawa ya magonjwa ya ngono

Nani aliyewaaminisha wabongo kwamba azuma( azithromycin) ni dawa ya magonjwa ya ngono

Una effect ndio kwa sababu, unapotosha jamii Kuna watoto humu wanasoma dada ANGU wataanza kujiamulia mambo kutoka Kwa nyinyi dada zao, nawewe pia tunakuhitani sisi wanaume mana ndo tunapo changamsha mwili unazani UKIPATA matatizo upwiru wetu tuta malizia wapi sasa? 🤣😂feel sorry mkuu kama nmekukwaza samahan sana 🙏🙏🙏🙏.

Hebu acha kukurupukia ninachoandika humu

Nimeshakuona unawashwa na shobo kwangu tangu muda tu

Nenda kacheze na watoto wenzio huko insta
 
Kwa mkoa niliopo mwezi wa sita mwishoni inabidi baridi lipungue na jua lianze kujitokeza.

Baridi likaendelea, July ikaingia baridi likazidi halafu baadhi ya watu wakubwa kwa watoto wakawa wanapata kikohozi ambacho hakiishi.

Azuma, power ceph, dexa, ampiclox, salbutamol zilidunda ikafikia hatua mtu anapigwa double dosage.
Dawa Gani iliwatibu?
 
Back
Top Bottom