win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
watu tunajiamulia mambo tukizidiwa ndo kuanza kujilizaš š ,,Loh!
watu tunajiamulia mambo tukizidiwa ndo kuanza kujilizaš š ,,Loh!
Hiyo itakuwa rapid damaging of the liverwanaita "rapid clearance of the infection" š
dox ni mbaya aseee,, nikiiona hata kama situmii mimi huwa nahisi kichefu chefu,Mtaalam dox ndio mbabe wa UTI?
watu tunajiamulia mambo tukizidiwa ndo kuanza kujilizaš š ,,
even if the stomach is full of magimbi mixture 5gallon of Ho²?Hiyo itakuwa rapid damaging of the river
zile coated hazina makali kihivyo ila zinaleta ile bad taste tu mdomoniKujiamulia kwa dawa za kina metro wewe bingwa š
Hizo dawa huwa zina ukali wake, sasa tabs 10 kunywa pamoja baaas! š
Ukifanyaje binti ndiyo unajihudumia? Hiyo njia sio sahihi fika kituo cha afya upewe maelekezo ya tiba usiogope magonjwaNikiyavabanga huko nakimbiaga AZUMA bila hata kupima , aibu maona mimiš š
zile coated hazina makali kihivyo ila zinaleta ile bad taste tu mdomoni
Shughuli ya hiyo dawa inafanyikia kwenye liver. Karibia 60-80 % ya metabolism inafanyikia hapo. Kwahiyo ni kama vidonge 8 kati ya 10 ulivyo meza ni kama vilishughulikiwa na INI šševen if the stomach is full of magimbi mixture 5gallon of Ho²?
si nyie watu wa afya huwa mnatudanganya kuwa kuna tamu na chungušŖHii nayo ni imani š
Metro coated(tamu) na zile zingine(chungu) effect yake ni ile ile zikienda tumboni
weeeeShughuli ya hiyo dawa inafanyikia kwenye liver. Karibia 60-80 % ya metabolism inafanyikia hapo. Kwahiyo ni kama vidonge 8 kati ya 10 ulivyo meza ni kama vilishughulikiwa na INI šš
Hiyo damage uliyofanya matokeo yake utayapata age ikienda, overdose inahatibu ini na kidney kuliko pombe kalieven if the stomach is full of magimbi mixture 5gallon of Ho²?
Nyie wenyewe watu wa tibaMtu anaenda hospital labda ana shida ya kukohoa au shida nyingine ya mfumo wa upumuaji, daktari anamuandikia Azithromycin au Azuma kama tunavyoita huku mtaani,kwa sababu ni dawa nzuri sana ya magonjwa ya mfumo wa hewa.
Mgonjwa akiona kapewa Azuma anakataa au anachukua ila akifika nyumbani hatumii,anaenda kununua dawa anayoijua mwenyewe jambo linaloathiri matibabu yake. Hii ni kwa sababu,mgonjwa anaamini daktari kampa dawa ya magonjwa ya ngono na sio dawa ya ugonjwa anaoumwa yeye. Hizi stori nimeziskia sana, imebidi nijiulize, hii imani ilitoka wapi?
Azithromycin sio dawa chaguo la kwanza la kutibu magonjwa ya ngono na kuna magonjwa mengi ya ngono ambayo Azuma haitumiki kabisa katika matibabu yake.
Ilikuwaje sisi tukahusianisha Azuma na magonjwa ya ngono kwa kiwango hicho?
ndo maanaš,,,Hiyo damage uliyofanya matokeo yake utayapata age ikienda, overdose inahatibu ini na kidney kuliko pombe kali
si nyie watu wa afya huwa mnatudanganya kuwa kuna tamu na chungušŖ
sisi wa vijijin tunaamini zile za njano ndo dawa sasa ila zile coated hamna kitu kabisa,,Ni kweli zipo tamu na chungu š
Bro šsisi wa vijijin tunaamini zile za njano ndo dawa sasa ila zile coated hamna kitu kabisa,,
msitucheke hatujasomaš
Nilikua namsikiliza jamaa Mmoja mgonjwa wa Figo anadai ye sababu ya kuumwa Figo, ilibainika alikua anatumia paracetamol kuzidi kipimo kumbe alikua anajua Figo bila kujua asee MUNGU atulindeHiyo damage uliyofanya matokeo yake utayapata age ikienda, overdose inahatibu ini na kidney kuliko pombe kali