Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 1,357
- 3,114
Oops ๐๐๐๐๐๐คฃ๐๐Ila U.T.I ni balaaa mazee
AZUMA sio daya ya UTI wala dawa ya Kwanza ya magonjwa ya zinaa( japo inaweza kuwa alternative kama mbadala WA Doxycycline ) unless umefanya kipimo kinaitwa culture and sensitivity kimeonesha kuwa AZUMA inaweza kukutibuIla U.T.I ni balaaa mazee
Ahsante kwa upembuziAZUMA sio daya ya UTI wala dawa ya Kwanza ya magonjwa ya zinaa( japo inaweza kuwa alternative kama mbadala WA Doxycycline ) unless umefanya kipimo kinaitwa culture and sensitivity kimeonesha kuwa AZUMA inaweza kukutibu
AZUMA imetengenezwa Kwa ajili ya magonjwa kama
1.Pneumonia na baadhi ya respiratory tract infections
2.Atypical pneumonia
3.Chlamydia na baadhi ya STI( kama alternative ya Doxycycline)
4.Baadhi ya skin/soft-tissue infections
5.Baadhi ya ENT infections
6.pia Kwa typhoid inafanya kazi
tumejiamulia mambo jamni naomba msitufokee
Mtaalam dox ndio mbabe wa UTI?AZUMA sio daya ya UTI wala dawa ya Kwanza ya magonjwa ya zinaa( japo inaweza kuwa alternative kama mbadala WA Doxycycline ) unless umefanya kipimo kinaitwa culture and sensitivity kimeonesha kuwa AZUMA inaweza kukutibu
AZUMA imetengenezwa Kwa ajili ya magonjwa kama
1.Pneumonia na baadhi ya respiratory tract infections
2.Atypical pneumonia
3.Chlamydia na baadhi ya STI( kama alternative ya Doxycycline)
4.Baadhi ya skin/soft-tissue infections
5.Baadhi ya ENT infections
6.pia Kwa typhoid inafanya kazi
alooooo hapa umetisha mwanetu, nahisi mwili ukiona unaumwa unaanza kuogopa๐,,,, mi kunasiku nilijikanyaga huko nikapiga zangu metro 10 hata sijui nilikua natibu nini ila naamini nilifyekelea mbali tatizo langu๐คญ๐Wengine kwenye matibabu tunajiamulia tu
Binafsi nikipatwa vialeji naweza nikanywa kichupa kizima cha cetirizine once a day
Nikiwa na maumivu naweza nikameza panadol 2ร4 ama 5 kwa siku ๐
Nikipatwa kiungulia naweza kumeza pantoprazole 4 kwa pamoja
Nilishawahi kujihisi mwili hauna maji nikajipachika RL 3 ๐
Nimeshashuhudia mtu anatumia doxycycline kujitibu gono, azuma na ceftriaxone injection
Kuna wengine wanatumia penadur injection
Nafikiri dawa nazo hizi kuna kitu imani kwamba mtu utapona tu
mshamba_hachekwi ukiumwa si unafanya kama mimi daktari wako?
si ndio bro ๐๐Watuache ๐
alooooo hapa umetisha mwanetu, nahisi mwili ukiona unaumwa unaanza kuogopa๐,,,, mi kunasiku nilijikanyaga huko nikapiga zangu metro 10 hata sijui nilikua natibu nini ila naamini nilifyekelea mbali tatizo langu๐คญ๐
Metro 10 kwa pamoja?alooooo hapa umetisha mwanetu, nahisi mwili ukiona unaumwa unaanza kuogopa๐,,,, mi kunasiku nilijikanyaga huko nikapiga zangu metro 10 hata sijui nilikua natibu nini ila naamini nilifyekelea mbali tatizo langu๐คญ๐
Metro 10 kwa pamoja?
wanaita "rapid clearance of the infection" ๐Metro 10? Hii ni too risk usifanye hivi unaweza kufa ๐
Metro najua tumetumia sana kwa imani kwamba hupati mimba baada ya sex ya kavu kavu ... lakini najua huwa hazizidi 4 + maji lita 3 ๐
Mwili wangu unanijua vizuri
wanaita "rapid clearance of the infection" ๐
๐ชshangaa na wewMetro 10 kwa pamoja?