Nani aliyewaaminisha wabongo kwamba azuma( azithromycin) ni dawa ya magonjwa ya ngono

Imani ilianzia hapa: watanzania wengi ni waathirika wa gono, UTI na magonjwa mengine ya ngono na mara nyingi dawa mojawapo wanayopewa ni AZUMA matokeo yake tunakariri kuwa azuma ni kwa ajili ya gono.
 
Nyie wenyewe watu wa tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…