Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Dada angu hio ni hatari Instagram Kuna kaka alikua amepost anaomba msaada wa dialysis, miongon mwa sababu za ugonjwa wake wa Figo aliodai ni matumizi ya dawa kuzidi kipimo ikiwemo matumizi ya mara Kwa mara ya paracetamol, acheni ndugu zangu tupunguze ujuaji twendeni hospitali, mama yangu aliugua nilikua nae ndani nikawaza nifanye Nini, ikanibidi nimuandalie aloe Vera nikampa anywe, we alitapika kazidiwa ndo kumkimbiza hospitali akapigiwa drip, ACHA TU na alipona tangu siku hiyo nilipinguza ujuajiWatuache π
Ugonjwa upi wa ngono mkuu ambao Azuma ni chaguo la kwanza kwenye matibabu?Mtoa mada kajielemishe vizuri zaidi Azuma(Azithromycin), ni moja wapo ya dawa ambazo ni chaguo la kwanza kwenye kutibu magonjwa ya ngono.
Paracetamol hata kwa ini pia sio nzuri ukitumia bila kufuata ushauri wa madaktariNilikua namsikiliza jamaa Mmoja mgonjwa wa Figo anadai ye sababu ya kuumwa Figo, ilibainika alikua anatumia paracetamol kuzidi kipimo kumbe alikua anajua Figo bila kujua asee MUNGU atulinde
Wameshakusamehe mkuuπππAsante kwa elimu, ujinga hauna mwenyewe π
Binafsi nilialikwa pilau huko mwananyamala, nilivyofika kwa kuwahi nikakaa sebuleni, kimya chakula kinaandaliwa, ikabidi niulizie remote mama mwenye nyumba kaniambia niangalie kwenye drawer ya showcase ya TV, nimevuta drawer nikakuta mafungu mafungu ya azuma ya kutosha. Low key niliwajudge wenye nyumba, mke na mume why wanamiliki azuma zote zile? Kumbe ni dawa ya magonjwa mengine? π© Mitaani tunasikia tu Azuma inatibu sijui gono sijui utiyayi!
Wanisamehe kwa kweli.
Ulitisha mkuuππhadi aloe vera??Dada angu hio ni hatari Instagram Kuna kaka alikua amepost anaomba msaada wa dialysis, miongon mwa sababu za ugonjwa wake wa Figo aliodai ni matumizi ya dawa kuzidi kipimo ikiwemo matumizi ya mara Kwa mara ya paracetamol, acheni ndugu zangu tupunguze ujuaji twendeni hospitali, mama yangu aliugua nilikua nae ndani nikawaza nifanye Nini, ikanibidi nimuandalie aloe Vera nikampa anywe, we alitapika kazidiwa ndo kumkimbiza hospitali akapigiwa drip, ACHA TU na alipona tangu siku hiyo nilipinguza ujuaji
Dada angu hio ni hatari Instagram Kuna kaka alikua amepost anaomba msaada wa dialysis, miongon mwa sababu za ugonjwa wake wa Figo aliodai ni matumizi ya dawa kuzidi kipimo ikiwemo matumizi ya mara Kwa mara ya paracetamol, acheni ndugu zangu tupunguze ujuaji twendeni hospitali, mama yangu aliugua nilikua nae ndani nikawaza nifanye Nini, ikanibidi nimuandalie aloe Vera nikampa anywe, we alitapika kazidiwa ndo kumkimbiza hospitali akapigiwa drip, ACHA TU na alipona tangu siku hiyo nilipinguza ujuaji
Kama una stg kasome kuanzia ukurasa 250Ugonjwa upi wa ngono mkuu ambao Azuma ni chaguo la kwanza kwenye matibabu?
Hahahahaπ€£ mkuu si unajua ujuaji ukizidi, unajikuta mtaalamuUlitisha mkuuππhadi aloe vera??
Umeona sasa we ni mjuaji hio ndio shida, nimesema mfano elewa neno mfano, hizo dawa unazo kunywa Kwa kujiamulia ni pipi hizo?Nioneshe nilipoandika nimetumia PCM mara kwa mara
SahihiWengi hawana elimu hio, azuma ni antibiotic.. inatibu maradhi mengi...
Kwenye huu uzi wako inapaswa utoe elimu na si kulaumu..
Nikawaza metro coach tena walikuwa na dawa?Metro 10? Hii ni too risk usifanye hivi unaweza kufa π
Metro najua tumetumia sana kwa imani kwamba hupati mimba baada ya sex ya kavu kavu ... lakini najua huwa hazizidi 4 + maji lita 3 π
Mwili wangu unanijua vizuri
Umeona sasa we ni mjuaji hio ndio shida, nimesema mfano elewa neno mfano, hizo dawa unazo kunywa Kwa kujiamulia ni pipi hizo?
ππNikawaza metro coach tena walikuwa na dawa?
Wabongo wanaamini katika maneno yaMtu anaenda hospital labda ana shida ya kukohoa au shida nyingine ya mfumo wa upumuaji, daktari anamuandikia Azithromycin au Azuma kama tunavyoita huku mtaani,kwa sababu ni dawa nzuri sana ya magonjwa ya mfumo wa hewa.
Mgonjwa akiona kapewa Azuma anakataa au anachukua ila akifika nyumbani hatumii,anaenda kununua dawa anayoijua mwenyewe jambo linaloathiri matibabu yake. Hii ni kwa sababu,mgonjwa anaamini daktari kampa dawa ya magonjwa ya ngono na sio dawa ya ugonjwa anaoumwa yeye. Hizi stori nimeziskia sana, imebidi nijiulize, hii imani ilitoka wapi?
Azithromycin sio dawa chaguo la kwanza la kutibu magonjwa ya ngono na kuna magonjwa mengi ya ngono ambayo Azuma haitumiki kabisa katika matibabu yake.
Ilikuwaje sisi tukahusianisha Azuma na magonjwa ya ngono kwa kiwango hicho?
uzushi zaidi kuliko utaalamuUna effect ndio kwa sababu, unapotosha jamii Kuna watoto humu wanasoma dada ANGU wataanza kujiamulia mambo kutoka Kwa nyinyi dada zao, nawewe pia tunakuhitani sisi wanaume mana ndo tunapo changamsha mwili unazani UKIPATA matatizo upwiru wetu tuta malizia wapi sasa? π€£πfeel sorry mkuu kama nmekukwaza samahan sana ππππ.Ujuaji wangu una effect gani kwenye maisha YAKO?