Nani aliyewadanganya Viongozi wa Afrika kupiga Simu katika Matamasha na Kupongezwa ndiyo Ishara ya Uongozi wao Bora?

Ukiona Kiongozi wa Afrika unasifiwa sana na Wewe ukakubali Kusifiwa na Ukakenua Mimeno yako jua Umesanifiwa na Umedharaulika mno.
Ndiyo kawaida ya CHAWA,anajua akisifia anaendelea kudumu kwenye nafasi yake,au anapata uteuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…