Nani aliyewashauri TFF na Bodi ya Ligi kuingiza timu nne kwenye michuano ya Ngao ya Jamii?

Japo umembeza, ila kiuhalisia mkuu wewe ndio unahitaji elimu.

Huu ni utaratibu wa kijinga sana, hakuna ngao ya jamii ya team 4. Man City na Arsenal ngoma imeisha jana, week hii league zinaanza.

Tukubali tukatae, TFF watu wa mpira ni wachache sana. Ngumu sana kwao kwenda na mabadiliko kadhaa ya mpira wa kisasa.
 
Wewe ni mpumbavu huna unalojua.


Eti hayo Mashindano ya wiki Moja ndio yahamasishe watu kujenga viwanja vyao. Una akili tumamu kweli wewe.


Halafu eti una hoja ng'ombe wa mayele wewe

Hongera UMESHINDA wewe.

Ila WENZIO Huwa wanashambulia hoja na si mtoa hoja.
Hoja HUJIBUWA KWA HOJA na si matusi na Lugha chafu

Mimi sijafundishwa matusi, dhihaka, Dharau na vijembe.

Kwa hili UMESHINDA wewe hongera sana.

Asante kwa USHIRIKIANO.
 
Hongera UMESHINDA wewe.

Ila WENZIO Huwa wanashambulia hoja na si mtoa hoja.
Hoja HUJIBUWA KWA HOJA na si matusi na Lugha chafu

Mimi sijafundishwa matusi, dhihaka, Dharau na vijembe.

Kwa hili UMESHINDA wewe hongera sana.

Asante kwa USHIRIKIANO.
Ujumbe ashaupata,hapo anajitoa tu ufahamu
 
Huu mfumo, Karia, ameuiga kutoka SFF ya Somalia. Nia yake, eti, ni kuzipa hizi timu matayarisho mazuri kabla ya cafcl na cafcc
 
Kwani lazima kila kitu tufanye km wazungu?

Hatuwezi kufanya ubunifu wetu kutokana na mazingira yetu?
 
Ulaji tu hakuna kingine,mechi za team 4 wataingiza pesa zaidi kuliko mechi moja tu .

Hela zinazopatikana kwenye Ngao ya Jamii.

Ni kwaajili ya hisani.
HISANI NI KUTOA SADAKA, MISAADA KWA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU. ( Special group)

Fedha yote 100%
INATAKIWA ipelekwe kwa makundi kama.

1. WATOTO yatima.

2. Wazee.

3. Wafungwa.

4. WAKIMBIZI.

5. Wenye MATATIZO ya NGOZI, walemavu nk.
 
Hoja yako ingekuwa na mantiki kama mgao ya jamii ingepelekwa mkoa ambao hauna timu ya ligi kuu kama Arusha na Mwanza.

Usitetee uhuni na ubinafsi wa huyo Karia kwakuwa ukiacha Somalia, kwa Tanzania kwao ni Tanga.
 


Ndio maana tumesema.

1. LENGO kuu ni kupata Fedha.

2. Kusambaza mpira.

3. Kuziandaa mapema timu zinazoshiriki mashindano ya CAF.
CAFCL CAFCC.
Simba, yanga , Azam na singida.

Ni michezo michache yenye faida KUBWA mno.

BINAFSI NAWAPA KONGOLE TFF
 
Wewe unajua nini katika hili? Tuambie mana ume lalamika tuuu, mtu nakupa ufafanuzi una mwambia hajuh Kitu.

Manaana ya kupanua ni kuongeza upana hivyo basi kitendo cha kuongeza Tim kutoka mbili kufikia nne tayari wame panua

Hapo wata Pata mapato Mala tatu

Simba singida uwanja utajaa

Yanga azam utajaa

Na fainaly utajaa
 
Hoja yako ingekuwa na mantiki kama mgao ya jamii ingepelekwa mkoa ambao hauna timu ya ligi kuu kama Arusha na Mwanza.

Usitetee uhuni na ubinafsi wa huyo Karia kwakuwa ukiacha Somalia, kwa Tanzania kwao ni Tanga.

Nakubaliana na wewe.

Ila michezo ya Simba na yanga inakutanisha MBAKA raia wa kigeni kuja Tanzania.

1. Wamepeleka Tanga kwa sababu
Ni JIRANI na Dar es salaam kwa timu kusafiri kuokoa muda.

2. Mikoa ya JIRANI kama
ARUSHA.
MUSOMA.
MANYARA.

Inavutika na inafaidika na hii michezo.

BAHATI MBAYA WATANZANIA TUMEKUWA WATU WA KUTOKUELEWA NA KUPINGA KILA KITU.
 
Umeandika kama zezeta la Ccm, kuna binadamu anayeweza kupinga kila kitu?
 
Ndio maana tumesema.

1. LENGO kuu ni kupata Fedha.

2. Kusambaza mpira.

3. Kuziandaa mapema timu zinazoshiriki mashindano ya CAF.
CAFCL CAFCC.
Simba, yanga , Azam na singida.

Ni michezo michache yenye faida KUBWA mno.

BINAFSI NAWAPA KONGOLE TFF
1. Kwani mkuu, miaka yote nyuma wakati hii ngao ya hisani inafanyika pesa zilikuwa hazipatikani?

2. Ligi hii inachezwa mikoa karibu yote, tuna hadi ligi za wilaya na mikoa n.k unaona kabisa mpira ukisambazwa kwa match hizi za team 4 Tanzania nzima?

3. Team zinajiandaa na pre season mkuu, ndio maana Simba walikuwa Uturuki, Yanga Avic na hao wengine pia wamecheza match nyingi tu za pre season mfano Azam

Kiuhalisia kuna siasa tu hapo na watu wapige hela, hakuna jipya wala njia yoyote ya maana kusema italeta impact katika mpira
 
Umeandika kama zezeta la Ccm, binadamu anayeweza kupinga kila kitu?

Shambulia hoja na sio kunishambulia Mimi.

MWALIMU NYERERE ALIPATA KUANDIKA KITABU KINAITWA TUJISAHIHISHE.
NAHISI KITAKUSAIDIA KUONDOA UJINGA.
 
mzee vp umenusa hali ya hatari nini kwa chama lako
 
Ungenirekebisha huo UPUMBAVU wangu upo wapi.

Ungenionyesha UPUMBAVU wangu upo wapi kuliko kunijibu UPUMBAVU.

Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.
Mithali 26:4
Kwa hiyo umekili Kama wew ubongo wako umejaa makamasi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…