NAUNGA MKONO HOJA [emoji91][emoji123]Ngao ya hisani inatakiwa mechi moja tu mengine ni mauzauza ya watu.
Alie waambia msisajiri ni nani, kwa Simba hii lazima utopolo mtetemeke MT Ngoma ni dangerUo mfumo wa kispaniola sio wa ku copy niwa kipuuzi tu. Ndio maana timu zina cheza mechi za maandalizi.
Ilitakiwa ichezwe mechi moja tu kama ni Yanga vs Simba ligi ianze.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Jikite kwenye hoja [emoji41]Kwani unaogopa nin we utopwinyo????
Yanga yupo kwenye daraja la pekeyake kwasasa, unaweza kwasasa usinielewe ila baada ya muda utanielewa.Alie waambia msisajiri ni nani, kwa Simba hii lazima utopolo mtetemeke MT Ngoma ni danger
Ubaguzi huo bobu kukosoa uumbaj wa mungu Kwan ww huna kasoro mbona na wewe unamikundu miwili na hatukudhihaki
Una shupaza mishipa ya shingo Kama unaongea point kumbe HAKUNA kitu kichwani.FIFA NDIO WAASISI WA NGAO YA HISANI.
kama TFF wanaiba wanapiga ni wao.
Lakini LENGO ni KUPELEKA Kwa Jamii.
KAMA KUNA MIANYA YOYOTE YA UHALIFU WIZI, UFISADI, RUSHWA.
TAKUKURU WAPO.
TISS WAPO.
POLISI WAPO.
MAAFISA WA CAF WAPO. NK.
KAMA SELIKALI INABADIKI WIZI FIFA HAIKUBALIANI NA WIZI
Sina Cha KUKUSAIDIA zaidi
Mm hapa.Mpaka Sasa sijapata majibu kwa hili ninaloliona hapa katika mpira wetu hapa Tanzania.
Nijuavyo Mimi katika ngao ya jamii ilipaswa mshindi wa kombe la ligi na mshindi wa kombe la FA ndiyo wakutane tofauti na hapo Mshindi wa ligi atakutana na mshindi wa pili.
Hiki alichokileta Karia na genge lake sijui kakitoa wapi na sijui kina lengo gani katika mpira wetu huu wa Tanzania.
Zimeingia timu nne Ina maana michuano ya ngao ya jamii imenzia nusu mpaka fainali Hili ni Jambo la kushangaza sana.
Labda Kama Kuna anaejua huu mfumo TFF wameutoa wapi waje watueleze.
Masuaala muhimu Kama haya wachambuzi wa Mchongo wamefumba Macho wanajifanya hawaoni Ila wanasubiri Aziz k aharibu ndiyo watokwe na mapovu.
Kama huna hoja Bora ukanyamaza kuropoka pumba ni kujidharirisha wewe na kizazi chako[emoji41]
Taratibu za wapi??WAna copy tabia na taratibu za CAF. Michuano inawekewa taratibu kwa mujibu wa utashi wao.
Yani TFF hii hii waandae mechi halafu 100% ya mapato watowe sadaka?
Wewe utakuwa hujui kwa nini Rage alifungwa jela na Wambura alikuwa na kesi ya uhujumu uchumi.
Ujuavyo wewe, ila hujasema umejuaje. Bodi ya Ligi inayoundwa na vilabu vya ligi kuu nchini ikiwemo Yanga, ilamua mwaka huu iwe hivyo. Sasa sijajua wewe ulijua kitu gani. Kama wewe ni mshabiki wa soka na klabu yako ni mojawapo ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu nchini, basi inabidi umuulize mwakilishi wa klabu yako katika Bodi hiyo, kwa nini aliamua hivyoNijuavyo Mimi katika ngao ya jamii ilipaswa mshindi wa kombe la ligi na mshindi wa kombe la FA ndiyo wakutane tofauti na hapo Mshindi wa ligi atakutana na mshindi wa pili.
Una shupaza mishipa ya shingo Kama unaongea point kumbe HAKUNA kitu kichwani.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na ndiyo utaratibu hata kwenye nchi za wenzetu tunaowaangalia kimaendeleo kuhusu mpira.Ujuavyo wewe, ila hujasema umejuaje. Bodi ya Ligi inayoundwa na vilabu vya ligi kuu nchini ikiwemo Yanga, ilamua mwaka huu iwe hivyo. Sasa sijajua wewe ulijua kitu gani. Kama wewe ni mshabiki wa soka na klabu yako ni mojawapo ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu nchini, basi inabidi umuulize mwakilishi wa klabu yako katika Bodi hiyo, kwa nini aliamua hivyo