Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Mstaafu Jakaya " ukita kula nawe kubali kuliwa. Sasa wewe ule tuuu..inabidi uliwe kidogo". Hahaahah.

Pamoja sana mzee wetu wa msoga.

Tumeliwa kidogoo hapo.
 
Mstaafu Jakaya " ukita kula nawe kubali kuliwa. Sasa wewe ule tuuu..inabidi uliwe kidogo". Hahaahah.

Pamoja sana mzee wetu wa msoga.

Tumeliwa kidogoo hapo.
Hii tumeliwa pakubwa.
 
Si Bora hiyo visit Rwanda ina make sense sasa kuonyeshwa bendera tu kisha unalipa mipesa yote hiyo si uwendawazimu?
 
Sasa kuonyesha bendera umetangaza kitu gani
 
Acha ujinga kijana, mnataka maendeleo ila kuumia hamtaki.

Hilo ni tangazo la muhimu kama ya nchi nyingine tu.

USIJE NIITA CCM, SIJAWAHI IPENDA CCM TOKA NIZALIWE lakini tusiwe wajinga wa kubisha tu hata jambo lenye manufaa kwa taifa kama hilo.
Wewe umenifaika na nini kwenye hela yako uliyochangia hapo?!
 
Umelipa wewe,

Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,

#HAKUNA KAMA SAMIA
Acha ushamba ww bata mzinga Kalipa Hangaya
 


Tanzania is back to the world and ready for takeoff!!

Hawa watu sijui wanataka nini zaidi ya fursa!!
 
Ulidhani kilaza ni wewe peke yako, hata huyo unayemrejea ni kilaza tu…. mpo wengi tu usijione spesho.
Nilijua tu utasema hivyo. Lione kwanza; unajifanya unajua Kiingereza kuliko waingereza wenyewe waliochapisha kitabu. Ha ha ha unakuwa kama wakenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…