Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Mstaafu Jakaya " ukita kula nawe kubali kuliwa. Sasa wewe ule tuuu..inabidi uliwe kidogo". Hahaahah.

Pamoja sana mzee wetu wa msoga.

Tumeliwa kidogoo hapo.
 
Kila kitu kina gharama zake tulimponda Sana Kigwangala kuwatumia kina Steve Nyerere kutangaza vivutio vyetu tukataka tuwe kama Rwanda sasa piga hesabu ile visit Rwanda Arsenal au ile visit Rwanda PSG yaani Neymar, Mbape, Messi, Ramos etc wanaivaa unadhani ni mpunga kiasi gani Rwanda wameweka pale??? Tukitaka kula lazima tukubali kuliwa period.
Si Bora hiyo visit Rwanda ina make sense sasa kuonyeshwa bendera tu kisha unalipa mipesa yote hiyo si uwendawazimu?
 
Kwa dunia ya leo kama hawezi kujua umuhimu wa kujitangaza au kutangaza ulichonacho ili kivutia wateja na wawekezaji basi una shida mahali
Hivi unajua gharama ya tangazo la voda dk 1 tu kwenye television
Mimi natamani tungeweka utaratibu wa kutangaza hata kila mwenzi angalau kivutio kimoja watu waone fursa, siku nyingine waweke mountain Kilimanjaro nk
Tusijifunge na fikra za kujifungia ndani
Sasa kuonyesha bendera umetangaza kitu gani
 
Acha ujinga kijana, mnataka maendeleo ila kuumia hamtaki.

Hilo ni tangazo la muhimu kama ya nchi nyingine tu.

USIJE NIITA CCM, SIJAWAHI IPENDA CCM TOKA NIZALIWE lakini tusiwe wajinga wa kubisha tu hata jambo lenye manufaa kwa taifa kama hilo.
Wewe umenifaika na nini kwenye hela yako uliyochangia hapo?!
 
Umelipa wewe,

Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,

#HAKUNA KAMA SAMIA
Acha ushamba ww bata mzinga Kalipa Hangaya
 
Baadhi ya watanzania,kazi yao kulalamika,fursa za kupata kipato,zikija anabakia kulalamika.Wageni wanazitumia hizo fursa,mpaka wao wanashangaa wanasema watanzania ni watu wa ajabu,wakati nchi ina fursa nyingi za kufuatilia ofisi zinazohusika,wao ni kulalamika.Leo mgeni,anakuja Tanzania anazifuatilia fursa,na kuzifanyia kazi.Utamkuta mgeni ndio anasafirisha bidhaa kadhaa nje,madini,mazao kama katani,leo katani inakwenda falme za kiarabu,wamegundua katani ya Tanzania ndio nzuri,kutengeneza jipsum,wasafirishaji wa hiyo katani,ni wageni sio watanzania,sisi ni kulalamika tu,kwa jambo hata mtu hana ushahidi nalo.
Screenshot_20220301-223857~2.png
Screenshot_20220301-223903~2.png


Tanzania is back to the world and ready for takeoff!!

Hawa watu sijui wanataka nini zaidi ya fursa!!
 
Ulidhani kilaza ni wewe peke yako, hata huyo unayemrejea ni kilaza tu…. mpo wengi tu usijione spesho.
Nilijua tu utasema hivyo. Lione kwanza; unajifanya unajua Kiingereza kuliko waingereza wenyewe waliochapisha kitabu. Ha ha ha unakuwa kama wakenya?
 
Back
Top Bottom