Nani ameona picha ya Gari ya Ole Sendeka iliyochakazwa kwa risasi?

Nani ameona picha ya Gari ya Ole Sendeka iliyochakazwa kwa risasi?

Gari ya Lissu tuliiona, na matundu ya risasi tuliyaona, vipi gari ya Mzee Ole Sendeka iliyoshambuliwa kwa mvua ya "mirisasi" mmeiona?

Naomba picha nilione na mie

Pia soma > Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana
Anasema eti baada ya ya wale watu walikuwa na bunduki zao kumshambulia kwa risasi nyingi na yeye akajibu kwa kupiga risasi hewani , jamaa wakakimbia halafu yeye akashuka na kuanza kuhesabu na kuokota risasi.
 
Back
Top Bottom