Nani ameona picha ya Gari ya Ole Sendeka iliyochakazwa kwa risasi?

Anasema eti baada ya ya wale watu walikuwa na bunduki zao kumshambulia kwa risasi nyingi na yeye akajibu kwa kupiga risasi hewani , jamaa wakakimbia halafu yeye akashuka na kuanza kuhesabu na kuokota risasi.
 
Eti bastola ikakimbiza bunduki za kijeshi 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…