Nani ameona picha ya Gari ya Ole Sendeka iliyochakazwa kwa risasi?

Nimeuliza kwa wema

Maigizo Gani sasa? Hahahaha unacheza na mvua ya risasi? Omba usikutwe na Bwana Pepsi
Mimi nilishangaa unamiminiwa ridasi 18 ghafla , Halafu update nafasi ya wewe kujibu mapigo Kwa kuchomoa Bunduku uanze Kitusha hewani n wasiojulikana wakimbie! Kama ndivyo basi Ole Sendeka ni Komandoo!
 
Tena eti alishuka chini wakati anashambuliwa kwa risasi, yeye kwa kujibu mapigo akafyatua risasi hewani. Ya kweli hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…