Nani ametoa Kauli ya kukubali Kujiuzulu kwa Ndugai? Hajajiuzulu!!?

Nani ametoa Kauli ya kukubali Kujiuzulu kwa Ndugai? Hajajiuzulu!!?

Subiri CHADEMA iongoze nchi ndio hayo unayoyasema yatakuwa na mazingatio,ila ndani ya CCM madai yako yote hayana mashiko ni sawa na kuchota maji kwa pakacha,kwani yule Assad aliondoka kivipi kwenye ukuu wa mahesabu ? Hio ndio CCM ,yao hayo waarabu wa pemba,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Basi hata Samia kafosi.
Ndo ujue Sasa aliyekuteua Ana nguvu kuliko katiba.
Imeisha hyo.
Hata Kama katiba Ina mkataza kuwafukuza Ila ndo hvyo Tena rais yupo juu ya katiba.
Hautaki andamana.
Binafsi nimefurahi ndugai kufukuzwa.
TUACHE MVUA INYESHE ILI TUJUE PANAPOVUJA
Unakumbuka ilipingwa kiasi gani na yule marehemu alifosi??

Elimu yangu ni darasa la7D huku MAKIUNGU singida ndanindani
 
Nauliza tu maana bila kuambiwa kama amekubaliwa kujiuzulu anaweza kutengua barua hiyo na hakutakuwa na la kumfanya. Unapojiuzulu mamlaka unayowajibika kwake inatakiwa iseme imekubali. Hii ndio sababu wakati mwingine mtu anaweza kukataliwa kujiuzulu (mifano ipo mingi).

Taarifa ya Katibu wa Bunge kuwa kapokda taarifa kutoka Katibu Mkuu wa CCM kuwa chama hicho kimeridhia ni potosí nq inabeba makosa ya kiutendaji. Hakujafanyika kikao chochote cha KK ya CCM kujadili tukio hilo. Haiwezekani KM akubali kujiuzulu kwa Spika.

Vipi kama Spika Ndugai ALISHIKIWA BUNDUKI na kulazimishwa kuandika barua hiyo (under duress) kutokana na sauti za kumtaka kujiuzulu? Yaani CCM haikuchukua hata dakika moja kumuuliza kana "hiari" ni "hiari" kweli.

Kujiuzulu kwa Spika hakuwezi kufanywa kiholela hivi kana kwamba aliyejiuzulu ni mpishi wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Mkata...

Kinyume na wengine.. sijui kama Spika amejiuzulu kweli... ndio ufyatu wenyewe huu.

Kweli aende lakini aende kiukweli...akiibuka na kusema ametishiwa maisha... ? Yaani hata kukutana na KM hakujafanyika tunakubali tu?

Acheni ufyatu!!!

Hapa ni kama unaleta mbwembwe tu ili uonekane unajua kuhoji, jambo lolote analotaka rais hufanyika bila kujali sheria inasemaje. Huyo Ndugai si alikuwa anapokea mpaka wabunge waliohama CDM, na wengine wamefukuzwa na haikuwa tatizo? Ndio itakuwa yeye kujiuzulu kujadili hizo barua kufuata protocol?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Basi hata Samia kafosi.
Ndo ujue Sasa aliyekuteua Ana nguvu kuliko katiba.
Imeisha hyo.
Hata Kama katiba Ina mkataza kuwafukuza Ila ndo hvyo Tena rais yupo juu ya katiba.
Hautaki andamana.
Binafsi nimefurahi ndugai kufukuzwa.
TUACHE MVUA INYESHE ILI TUJUE PANAPOVUJA
Mi.mwenyewr simpendi kinouma na nimefurahi ILA swali langu ni namna ya kuondolewa tu na si vinginevyo nani ataridhia kujiudhuru kwake KM aliyeandikiwa barua au Bunge ambalo halijahusishwa au Rais ambaye pia hajatajwa kwenye barua???
 
Ndio maana wengine tuna hofu asijekuwa ametishwa! Ni muhimu sana akaondolewa kwa utaratibu kinyume na hapo siku moja tutavuna hii mbegu mbaya kabisa inayopandwa.

Ndio sikubaliani na mambo mengi ya Ndugai lakini hapa simuangilii mtu anayeitwa Ndugai bali Spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.

CCM mlishiriki kupigania uhuru na sasa mnaelekea kupigana vita nyingine ya kuturudisha utumwani kwa mlango mwingine.
Kwani vitisho nchi hii vimeanza leo , toka miaka ya nyuma kuna mambo yapo kwa ajili maslahi ya Taifa. Unawezaje ukatofautiana na Rais halafu mkaenda mbele pamoja. Kama hamtaki kukubali basi mjiandae kisaikolojia maisha lazima yaendelee..

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Subirini spika mpya. Habari ndo hiyo. Kama ndugai alikosea mchakato wa kujiuzulu, sanasana atachelewa kulipwa mafao yake au kuyakosa kabisa. CCM ni kubwa kuliko mtu.
 
Nauliza tu maana bila kuambiwa kama amekubaliwa kujiuzulu anaweza kutengua barua hiyo na hakutakuwa na la kumfanya. Unapojiuzulu mamlaka unayowajibika kwake inatakiwa iseme imekubali. Hii ndio sababu wakati mwingine mtu anaweza kukataliwa kujiuzulu (mifano ipo mingi).

Taarifa ya Katibu wa Bunge kuwa kapokda taarifa kutoka Katibu Mkuu wa CCM kuwa chama hicho kimeridhia ni potosí nq inabeba makosa ya kiutendaji. Hakujafanyika kikao chochote cha KK ya CCM kujadili tukio hilo. Haiwezekani KM akubali kujiuzulu kwa Spika.

Vipi kama Spika Ndugai ALISHIKIWA BUNDUKI na kulazimishwa kuandika barua hiyo (under duress) kutokana na sauti za kumtaka kujiuzulu? Yaani CCM haikuchukua hata dakika moja kumuuliza kana "hiari" ni "hiari" kweli.

Kujiuzulu kwa Spika hakuwezi kufanywa kiholela hivi kana kwamba aliyejiuzulu ni mpishi wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Mkata...

Kinyume na wengine.. sijui kama Spika amejiuzulu kweli... ndio ufyatu wenyewe huu.

Kweli aende lakini aende kiukweli...akiibuka na kusema ametishiwa maisha... ? Yaani hata kukutana na KM hakujafanyika tunakubali tu?

Acheni ufyatu!!!
Ila wakati mwingine uongo unafanana na kweli. Tutarajie lolote kutokea kuanzia Jumatatu Mungu akipenda.
 
Kasome taarifa ya katibu was bunge Jana. Mchakato wa kumpata spika mpya unaendelea na shughulika zote za bunge zimesimama.

2.
KIFUPI SIO SAMIA WALA CCM.
wote hawamtaki ndugai.
IMEISHA HYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOView attachment 2073186

Kujiuzulu Kwa ndugai ni batili , unless yeye mwenyewe alitolee ufafanuzi , barua inapelekwa Kwa katibu wa Bunge kupitia katibu wa CCM , katibu Yule Yule ambaye yeye na mwenyekiti wake walimtukana na kumnyea ndungai huku wakimforce na kumwambia ajiuzulu...alafu hao hao ndo wanapeleka barua bungeni ...hii haipo , huenda walimtisha au imebumbwa au ni mchongo , ngoja tuone...Kwanza ndugai Yuko wapi right now? Bring back Ndungai
 
Wabunge watakuwa watu wa ajabu sana kukubali hili lilitokea. Speaker anaandika barua ya kujiuzulu na kuipeleka kwa katibu wa Chama?

How are we even sure ile barua kaandika na kusaini bwana Job? Where is he? Yupo hai?
 
Wewe ndo unasema BATILI.
Ila nikupe tu pole. SYSTEM IMESHAMKATAA yaani barua yake iwe na mapungufu au imekamilika haibadilishi chochote maana mamlaka IMESHAMKATAA.
Ile hotuba ya Samia ilimaliza kila kituuu.
Samia alisema"sikutegemea mtu mzima na AKILI zako unaweza kwenda kuongea maneno kama Yale"
Kama nimenukuu vibaya sahihisha.
Ila kwa kauli ile .
Ndugai alikuwa Hana pa kutokea.
Samia hawezi kukubali kuendelea na mtu anayemchonganisha na raia wake.samia kamaind Sana sana
Na Samia anataka kuonesha ukubwa wa taasisi ya RAIS.
Kwamba Mimi ndo RAIS
Wewe nimekuteuwa tu
Kujiuzulu Kwa ndugai ni batili , unless yeye mwenyewe alitolee ufafanuzi , barua inapelekwa Kwa katibu wa Bunge kupitia katibu wa CCM , katibu Yule Yule ambaye yeye na mwenyekiti wake walimtukana na kumnyea ndungai huku wakimforce na kumwambia ajiuzulu...alafu hao hao ndo wanapeleka barua bungeni ...hii haipo , huenda walimtisha au imebumbwa au ni mchongo , ngoja tuone
 
Wabunge wa chama gani hao?[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nani anaweza kumpinga Samia?
Wabunge watakuwa watu wa ajabu sana kukubali hili lilitokea. Speaker anaandika barua ya kujiuzulu na kuipeleka kwa katibu wa Chama?

How are we even sure ile barua kaandika na kusaini bwana Job? Where is he? Yupo hai?
 
Kaka mamlaka IMESHAMKATAA.
yaani ile hotuba ya Samia aliyohoji yaani" sikutegemea mtu mzima na AKILI zako unaweza kwenda kuongea maneno kama Yale"
Ndo ilikuwa "ODA ILE"
Kwa hyo Basi barua iwe BATILI au halal hayo maamuzi yametoka JUU.
Na hayatobadilika.
Ndo maana nimesema acha mvua INYESHE ILI TUJUE wapi panavuja.
Mi.mwenyewr simpendi kinouma na nimefurahi ILA swali langu ni namna ya kuondolewa tu na si vinginevyo nani ataridhia kujiudhuru kwake KM aliyeandikiwa barua au Bunge ambalo halijahusishwa au Rais ambaye pia hajatajwa kwenye barua???
 
Hapana .mama anataka kuonesha ukubwa wa taasisi ya RAIS.
Angemuacha ndugai hyo taasisi ingedharaulika.
"NCHI ITAPIGWA MNADA"
Samia kawa dictator zaidi ya Magufuli. Homa ya 2025 inampelekesha
 
Ndio upo sahihi. Ameandika under pressure ndio maana barua imekua addressed kwa katibu wa chama badala ya katibu wa bunge alipata kiwewe. Waliompa shinikizo ni watu wa Chama so far

Au kwa mtazamo mwengine, Labda imekosewa maksudi kwa ajiri ya mpango mkakati furani.
Dah!...siasa hizi...
 
Kasome taarifa ya katibu was bunge Jana. Mchakato wa kumpata spika mpya unaendelea na shughulika zote za bunge zimesimama.
Tunaweka rekodi sawa. Isije kurudia kwa huyo spika mwingine. Watu wameshasahau alivyojiuzulu Lowassa Bungeni. Kumbukeni.
 
Back
Top Bottom