Nani ametoa Kauli ya kukubali Kujiuzulu kwa Ndugai? Hajajiuzulu!!?

Nani ametoa Kauli ya kukubali Kujiuzulu kwa Ndugai? Hajajiuzulu!!?

Na Samia anataka kuonesha ukubwa wa taasisi ya RAIS.
Kwamba Mimi ndo RAIS
Wewe nimekuteuwa tu
Karata aliyokuwa nayo Samia ni uenyekiti wake wa CCM tu. Otherwise asingemfsnta kitu Ndugai

BTW Samia (Rais) hakumteua Speaker
 
Aliyemteua kuwa kiongozi wa huo muhimili ni Nani?
au umeshasahau kuwa Samia ndo kapeleka jina la ndugai bungeni?
Sasa mtu aliyekuchagua anashindwa vipi kukutoa?
Uwa mnadanganywa tu Kuna mihimili 3 Ila kiukweli upo muhimili 1unaobeba hyo 2 iliyobakia.
Rais ndo KUSEMA
Hakuteuliwa na Rais.
 
Amejiuzulishwa kwa nguvu!!

Ni hatari sana! Wengine wajipange
 
Wabunge watakuwa watu wa ajabu sana kukubali hili lilitokea. Speaker anaandika barua ya kujiuzulu na kuipeleka kwa katibu wa Chama?

How are we even sure ile barua kaandika na kusaini bwana Job? Where is he? Yupo hai?
Kamuulize mkewe ndye anaelala nae huku unatukosea heshima mkuu
 
Nilikuwa najua bangi huvutwa na vijana pekee, kumbe wazee nao ni watumiaji wazuri wa huo mmea?
 
Ukiachilia mbali suala la kujibiwa ( kukubaliwa au kukataliwa kujiuzulu). Mchakato mzima wa kujiuzulu kuanzia awali una mapungufu.

Taarifa ya kujiuzulu inaelekezwa kwa bunge, sio chama kama ilivyofanyika.
Kwani bunge halina taarifa? Mbona wamekiri kupata taarifa?
 
Kasome taarifa ya katibu was bunge Jana. Mchakato wa kumpata spika mpya unaendelea na shughulika zote za bunge zimesimama.
Sasa' shughuli za bunge zinasimamaje wakati hatujaambiwa kama kujiuzulu kwake kumeridhiwa?
 
Back
Top Bottom