Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Karata aliyokuwa nayo Samia ni uenyekiti wake wa CCM tu. Otherwise asingemfsnta kitu NdugaiNa Samia anataka kuonesha ukubwa wa taasisi ya RAIS.
Kwamba Mimi ndo RAIS
Wewe nimekuteuwa tu
Hakuteuliwa na Rais.Aliyemteua kuwa kiongozi wa huo muhimili ni Nani?
au umeshasahau kuwa Samia ndo kapeleka jina la ndugai bungeni?
Sasa mtu aliyekuchagua anashindwa vipi kukutoa?
Uwa mnadanganywa tu Kuna mihimili 3 Ila kiukweli upo muhimili 1unaobeba hyo 2 iliyobakia.
Rais ndo KUSEMA
Refer issue ya prof Assad ndyo ujue mkuu wa nchi ni mmoja tu na kamwe usicheze na mamlaka yake"Mjingawewe" unasahau kuwa hata majaji/CAG wanateuliwa na Rais ila hana mamlaka ya kuwafukuza?
Kamuulize mkewe ndye anaelala nae huku unatukosea heshima mkuuWabunge watakuwa watu wa ajabu sana kukubali hili lilitokea. Speaker anaandika barua ya kujiuzulu na kuipeleka kwa katibu wa Chama?
How are we even sure ile barua kaandika na kusaini bwana Job? Where is he? Yupo hai?
CiC tu kinatosha kumtoa mtu yeyote ndani JMT mkuuKarata aliyokuwa nayo Samia ni uenyekiti wake wa CCM tu. Otherwise asingemfsnta kitu Ndugai
BTW Samia (Rais) hakumteua Speaker
Ujinga huuRefer issue ya prof Assad ndyo ujue mkuu wa nchi ni mmoja tu na kamwe usicheze na mamlaka yake
Kwani bunge halina taarifa? Mbona wamekiri kupata taarifa?Ukiachilia mbali suala la kujibiwa ( kukubaliwa au kukataliwa kujiuzulu). Mchakato mzima wa kujiuzulu kuanzia awali una mapungufu.
Taarifa ya kujiuzulu inaelekezwa kwa bunge, sio chama kama ilivyofanyika.
Sasa' shughuli za bunge zinasimamaje wakati hatujaambiwa kama kujiuzulu kwake kumeridhiwa?Kasome taarifa ya katibu was bunge Jana. Mchakato wa kumpata spika mpya unaendelea na shughulika zote za bunge zimesimama.