Nani ana akili kuliko wote JF?

Nani ana akili kuliko wote JF?

Kuna akili na umaarufu. Jifunzeni kutofautisha.

Kuna ma Homo Universalis tumetuliaga tu tunawachora ma genius wa mchongo. Mtu anaandika mashudu JF anakuwa maarufu kwakuwa watu wengi wanapenda ujinga halafu anatajwa kuwa ana akili, asee. 😂
Usije ukawa unamzungumzia mtu fulani..

Ukitaka upendwe nchi hii, jifanye unajua ushirikina au miujiza.
 
kuna mwamba mmoja (nimesahau ID yake), miaka ya nyuma alikuwa anaandika na kuchambua mambo magumu sana yanayohusu astronomy(sayansi ya anga).

kwangu yule jamaa ni genius kwasababu alikuwa ana dedicate mda wake kushare na sisi knowledge ambayo wengi wetu hatuna uelewa nayo. na alikuwa anaelezea kwa lugha nyepesi ya kiswahili ili kila mtu apate kuelewa.

astronomy ni moja ya field ngumu and very contradicting, ndio maana baadhi ya waajiriwa wa NASA ni ma genius kweli kweli wa hisabati na fizikia.
Alipotea? Miaka ya nyuma kwenye 2007 ivi au kwenye 2020?
 
Mkuu hivi waweza kuwa na maarifa usiwe na akili??? Ufafanuz kidogo hapa
Akili ni ule uwezo wa kuchambua maarifa mbalimbali ili kupata ufumbuzi..Mwenye akili hata akiwa na maarifa kidogo, anaweza kutumia akili yake kuleta ufumbuzi ambao umewashinda waliokariri maarifa mengi juu ya hiko kitu.
Unaweza kuwa na maarifa fulan ila huwezi kuyachambua kupata ufumbuzi wowote.
Ndiyo ile mtu amekariri mavitu hata kama ni uongo ila hawezi kufikiria nje ya box, nje ya alichokaririshwa.
Na huwezi kumbadilisha.
 
kuna mwamba mmoja (nimesahau ID yake), miaka ya nyuma alikuwa anaandika na kuchambua mambo magumu sana yanayohusu astronomy(sayansi ya anga).

kwangu yule jamaa ni genius kwasababu alikuwa ana dedicate mda wake kushare na sisi knowledge ambayo wengi wetu hatuna uelewa nayo. na alikuwa anaelezea kwa lugha nyepesi ya kiswahili ili kila mtu apate kuelewa.

astronomy ni moja ya field ngumu and very contradicting, ndio maana baadhi ya waajiriwa wa NASA ni ma genius kweli kweli wa hisabati na fizikia.
Kuna mwingine pia au labda ni yeye anaitwa Utingo
 
Back
Top Bottom