Nani ana akili kuliko wote JF?

Nani ana akili kuliko wote JF?

Unaakili kweli. Unapimaje akili ya mmoja kulinganisha na wengine. Namaanisha how do you measure?
 
Akili ukimaanisha uwezo wa kuvumbua kitu hakijawahi kuwepo?

Au akili ukimaanisha kutoa fafanuzi kwa mambo ambayo yapo lakini muuliza swali anakuwa hajui?
 
Hahah ngoja tumshtue bwana Haji afungue akaunti, ili upqte mtu wa kupambana naye jukwaa la soka...
Huyo kaishafungiwa huko TFF kwaku misbehave ataweza ku handle hisia humu kwenye ban nyingi za kukera kama chenga za chama?
 
Huyo kaishafungiwa huko TFF kwaku misbehave ataweza ku handle hisia humu kwenye ban nyingi za kukera kama chenga za chama?

Huku si unajua tena ukipigwa nyundo unaibuka na id nyingine...
 
Pale CLUB HOUSE kuna mtu anaitwa Panyar yaani ni Google ,,hatareeee
 
Sijawahi kuwaza kwamba kuna member ambaye anaweza kuwa kipanga in general lakini natambua kwamba humu ndani kuna vichwa ni msaada mkubwa sana katika field zao so kwa upande fulani ni magenious lemme appreciate them:
Wa kwanza ni CHIEF MKWAWA huyu jamaa kwenye masuala ya Information technology yupo juu sana hakuna tatizo ambali hana solution nalo ni msaada mkubwa sana kwa watu

Kwenye field ya magari na vyombo vya usafiri kuna ndugu yangu Extrovert na jamaa yangu JITU LA MIRABA MINNE
Binafsi Pascal Mayalla Humble African @Da'vinci na yule jamaa kwenye jukwaa la international forum anayechambua Silaha huwa nawachukulia magenious kwa mtindo fulani hivi bila kusahau Mshana Jr na LIKUD..Halafu kuna mwamba anaitwa Nguruvi3 nae naweza kumuweka kama genious...@Scars nae naweza kumuweka kwenye list ingawa si muanzishaji wa thread sana ila michango yake nae imejaa nondo nikiendelea kuwakumbuka watu nitaupdate comment..Ila hata mimi ni genious lakini sio kwa jamii forums maana nikiri wazi jamiiforums imenifanya nijue vitu vingi sana yaan mada yoyote itakayoanzishwa sehemh nilipo basi ntakuja na nondo kali sana na hii yoe ni kutokana na Jf,kwenye vijiwe vya kahawa wananikubali kinoma lakini hii ni kutokana na mchangi wa jamiiforums,hata Melo nilishwahi kumwambia hii tulipokuwa tunachati facebook
Car Enthusiast😀
 
Back
Top Bottom