Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
mpwayungu village mwanangu Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maxence Melo na Mwenzake Mike Mushi kwani bila Juhudi zao, Akili zao na Ubunifu wao wa Kutukuka leo hii kusingekuwepo na hili Jukwaa ( Jamvi ) linalotupa Kiburi na Kutujenga Kifikra hadi Kimtazamo wengi Wetu.Wajameni nina swali.
Who is the smartest person on JF?
Yani genius, akili mingi, great thinker..kuliko wote.
Nataka nimjue kipanga wetu.
Nchi ipi jf ni world wideHakuna mwenye akili kuliko rais wa nchi, yupo humu undercover
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Kinyume
Mbn umeingiza mambo ya elimu hapa? Mi nimeulizia akili tu bwana.Akili za kishule za kushindanisha wanafunzi Zina athiri mpaka uraiani ama kwenye maisha. Maisha sio mashindano Wala kufaulu mtihani. Set your goals to achieve or compet you vs you and not you vs me.
Mana huwezi shindanisha samaki na ndege kwa uwezo wa kupaa angani ama kuogelea majini.
Ama tumbili na mbuzi kukwea miti.
Namaanisha Kama Jana ulikuwa umepanga Basi angalau Leo uwe kwako ndio mashindano halisi hayo.
Kila mtu Ana namna alivyoumbwa hujasoma kuwa Kuna eight areas of human intelligence sema shuleni wanapima Aina mbili tu mkuu.
So zingine sita shule haizitambui.
Kumbuka huu mfumo wa shule ulianzishwaga ili kutengeneza vibarua wa kufanya kazi viwandani vya wajanja wachache na ndio hao hao waliosema work hard badala ya work smart,jiulize mbona mabaamedi na wafanyakazi wa viwandani wanaofanya kazi hawapumziki labda nusu saa tu ya kula Ila hawana mafanikio, so walitageti kuku brainwash na wakafanikiwa.
Pia wakaambiwa kuwa asiyefanya kazi na asile ili kila mtu akatafute kazi awafanyie. Mbona wazee na watt na disabled hawafanyi kazi Ila wanakula mkuu na je wagonjwa na wao wasile ama.
Elon musk akaanzisha shule yenye mfumo ambao sio huu uliozoea watt wake wote na wengine wajanja wachache wameanza kupeleka watt wao kwa shule yake.
Mana anadai hajasomea havard Ila anaajiri waliosomea havard.
Pia watu wanachanganya intelligence na elimu. Watu huwa hawajui tofauti ama elimu na akili kwa lugha rahisi.
Ndio Mana inatakiwa mtt asipimwe kwa mitihani.
Mana hapa mtaani hatushindani kuwa leo Nimekula samaki jirani akala dagaa Basi naye kesho ale samaki ili anijibu kuwa uwezo anao.
Ishi maisha yako unavyowaza na sio kuigaiga ama kushindana,Basi kashindane na bolt ronado Jordan Mayweather Warren bill gate Jack ma tata Benzos na Elon utakufa unashindana na hutoishi hata siku moja.
Hizo wewe unaongelea maarifa.Akili zipi unazungumzia,
-Unaweza kua na akili za Magari usiwe na akili za biashara
-ukawa na akili za kiimani usiwe na akili za mapenzi
-ukawa na akili za mpira usiwe na akili za electronics
Hicho sio kigezo...Yeye anaweza kuwa njia tu, ila kumbe alipofungulia jf wakaja watu wenye akili kumzidi yeye.Maxence Melo na Mwenzake Mike Mushi kwani bila Juhudi zao, Akili zao na Ubunifu wao wa Kutukuka leo hii kusingekuwepo na hili Jukwaa ( Jamvi ) linalotupa Kiburi na Kutujenga Kifikra hadi Kimtazamo wengi Wetu.
Pongezi zangu nyingi sana tu Kwao.
Na kikwete na Sunday ManaraWote kasoro mashabiki wa Yanga
ila kuna kuzidiana mkuuHakuna binadamu asiye na akili hapa duniani.
Tatizo ni namna anavyozitumia hizo akili!
Mbona hao Watu wako hawakuja na Ugunduzi / Ubunifu wa Mtandao huu / kama huu wa JamiiForums?Hicho sio kigezo...Yeye anaweza kuwa njia tu, ila kumbe alipofungulia jf wakaja watu wenye akili kumzidi yeye.