Nani anaestahili kuchukua nafasi ya IGP kumrithi Sirro endapo mabadiliko yakitokea?

nafikiri hizi mada sio za kujadiliwa jf. kuna vyombo vinavyofanya vetting hao ndio kqzi yao. sisi tujadili but itabakia irrelevant
 
 
Murilo.
Mutafungwa.
Kamanda Muslim.
Hamduni.
Mutafungwa ni jipu, Muslim ni mlevi mbwa
 
Amduni (mkuu wa takukuru kwa sasa)
 
nafikiri hizi mada sio za kujadiliwa jf. kuna vyombo vinavyofanya vetting hao ndio kqzi yao. sisi tujadili but itabakia irrelevant
Hivyo vyombo vinavyofanya vetting ndio vinatulete hawa wanaolalamikiwa, hivyo tuwasaidie.
 
Hii ndio faida ya kuwajadili hawa watu.Tutawajua vizuri.
 
Hilo nalijua ,ila tupendeleze wa afadhali maana lazima tu atoke humo humo.

Naamini humu wako watu wanaowaju vizuri sana viongozi wa hili Jeshi hivyo wanaweza kusaidia.
Akiridhia kwani kaombwa Mkuu(Rais/amtoe/Nani) ..?
 
Godbless Lema aliwahi kuwa waziri wa mambo ya ndani ( kivuli ) labda atusaidie kupendekeza!
Hawezi Sadia lolote , katiba mpya ndo mwarobain ya yote, IGP Kuna vitu anafanya na akilala au pumzika anajua amefanya Jambo ambapo sio sawa,ila atafanyaje, wakati alikienda tofauti , nje ya kupigwa chini lakini itakuaje mbele yake

Mfano ile kitu ya mh lissu , wenda IGP anajua mengi , na niseme kiroho, WENDA IGP anaiyona KAZI yake kuwa ngum Sana , ila anafanyaje Sasa?

Ndugu zangu tusimlaum IGP , huyu sio Mungu ,ila tumuambie tu , akawaeleze vijana wake umuhim wa KATIBA MPYA
 
Huyu atafaa sana namshauri mama amteue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…