Gentleman,Pole sana Mkuu.
Sasa Kipenz chako ametemwa, je utaendelea kumsifu aliyemtema?.
Bado zile Mama ametosha zitakuwepo?.
Gentleman,
mimi ni kipenzi cha waTanzania wote kama ilivyo kwa viongozi wote wa chama na serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan.
As a country,
we are currently more united, more powerful and more stronger than before 🐒
Wasila_ anaendana na siasa zetu za kutohitaji katibakufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel John Nchimbi.
Je nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?
Huyu ndio atapewa sasa. Who are they to sanction him?? Who are they? Hii ni nchi huruMakonda is sanctioned ni ngumu kupewa hiyo high position,muwe mnajipa taarifa kidogo kabla hamjafungua mdomo.
halamuMakamu wa Rais haramu au halali?
gentleman,Usipanic mkuu.
Na usijipe umuhimu.
Ww hata hapo kwenu huna Umuhimu.
Mm nimeuliza Kipenz chako Nchimbi ametemwa. Je utaendelea kumsifia aliyemtema?.
Car-tombweHuyu ndio atapewa sasa. Who are they to sanction him?? Who are they? Hii ni nchi huru
Mwamba pamoja na harakati zzke ila hajawahi kulamba uteuzi hata wa ujumbe wa kata😂🙌Lucas Mwanshamba wa JF
Kwa Katiba hii anaweza kuwateuwa wakuu wa kila sehemu, mikoa , Mawaziri wote, vyombo vya dola, toka Zanzibar na bado mtashingilia na hamna cha kumfanya wala kuhoji.Alivyokua kiburi kwa kushirikiana na mkwele utashangaa anawekwa mzanzibar makame mbarawa ili apime hasira zetu tuta mkeketa
Wajinga wawili watuongoze? Father in heaven, please, have mercy on us!Paul christian makonda
Rais form 4 failure, makamu vyeti feki.Wajinga wawili watuongoze? Father in heaven, please, have mercy on us!
Wakisoma hayo maandishi watajichukiza sana na kutuhenyesha maradufu.Rais form 4 failure, makamu vyeti feki.
Dotto na zile trip za Zanzibar kwenye functions za Kizimkazi pamoja na kuwa observed kwenye protocols za Ivi karibu Kuna chances za kuwa yeye au sio basi Prof Palamagamba Kabudi ndio ajae
Sosipitakufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel John Nchimbi.
Je nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?
sheikh mwaipopokufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel John Nchimbi.
Je nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?
Jamaa anafaa hata kuwa namba Moja Ila tatizo mfumo ndo unamkataa.Dotto Mashaka Biteko