hamada umelewa
JF-Expert Member
- Dec 17, 2017
- 575
- 999
Hakuna aliyemuingiza choo cha kiume. Yeye kwa upumbavu wake ameingia mwenyewe choo cha kiume na amegoma kutokaUkiona mpaka mgombea mwenza wake amemkimbia, ni dhahiri wahuni wamemuingiza choo cha kiume.
Motivational speakerDotto Mashaka Biteko
Yap simae anatosha kabsaa ni mzalendoAu amteue Simae yule mzanzibar mwenzie
Huyu mzee atakuja kusomea mtu albadir Kwa zile akili zake maana akili zake mnazijua zilivyo chache na kugandaWampe shehe mwaipopo maana ndo sampuli zinazohitajika Kwa sasa.
Dotto Magarikufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel John Nchimbi.
Je nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?
Lipumba anafaaMh. Balozi Dk. Bashiru Ally Kakurwa
Sahau! Ukanda wa Ziwa lile uongo!Mh. Balozi Dk. Bashiru Ally Kakurwa
Naona kwa mbali Moshi mweupe....Daniel Chongolo nafasi yake hiyo...
Unazungumzia kufaa?Unaelewa nini maana ya kufaa katika utawala huu? Achana na hizi mambo, wachague yoyote anayetakiwa si suala la kufaa kwa kuwa anateuliwa na Mamlaka, hizo nyingine ni procedures.Kufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel John Nchimbi.
Je, nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?
Kama alivyofanya kwa Mpango.Funzo kubwa ambalo limepatikana hapa ni kwamba,unapokuwa rais wa nchi,uwe makini sana kuchagua makamu wako,usifanye makosa aliyofanya ruto kumchagua gashagua,na makosa aliyofanya samia kumchagua nchimbi.Siku zote ukiwa rais chagua makamu wako ambae sifa zake ni 2 tu: 1 awe mtu wa kusema yes na hewala
2.awe ni mtu asiye na tamaa yoyote ile
Mimi nafaa, maana moto nitakao upeleka hautakua wa dunia hii , ndani ya siku 60 mchakato wa katiba lazima kuanza , wateule vilaza wote lazima ondoka , hapa ni ushawishi tu nitampa kiongozi alie juu yangu.Kufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel John Nchimbi.
Je, nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?