Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Mimi ndio mbunge ajae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuona Daudi Albert Bashite akipasha viungo ole wake mtu achukue hilo jimbo atawahishwa IndiaMimi ndio mbunge ajae
Hanifikii hata kidogo kuanzia mafundo hapo haniwezi akileta mazoea ntampeleka yeye huko indiaNamuona Daudi Albert Bashite akipasha viungo ole wake mtu achukue hilo jimbo atawahishwa India
Na DAB ndio mbunge wao mpya naona sasa njia ya kuingia bungeni hatimaye imefunguka ngoja tuoneHahaaaaaaa mipango sio matumizi. Kigamboni sio wajinga
Una hamu ya kuwahishwa India si ndio?Hanifikii hata kidogo kuanzia mafundo hapo haniwezi akileta mazoea ntampeleka yeye huko india
Msiba umekwisha pita, hawezi kufariki mara ya pili.Heee!!! Mapema hii jamani. Emu ngojeni kwanza msiba upite. Ebo!
Hii mikakati ya kupelekana India ili tuchukue vyeo sio kabisa, Maisha haya sio kabisa2020 paul makonda alishika nafasi ya pili kwenye kugombania ubunge wa kigamboni.
Je ataacha ukuu wa mkoa?, tusubiri wakati.
DAB anamalizia malizia taratibu za mwisho za kukabidhi Ofisi huko Arusha Kigamboni kuko wazi yule aliekua kipingamizi India washamchomoaMsiba umekwisha pita, hawezi kufariki mara ya pili.
Nyie! Nyie! Wapi huku tena, wakuu?DAB anamalizia malizia taratibu za mwisho za kukabidhi Ofisi huko Arusha Kigamboni kuko wazi yule aliekua kipingamizi India washamchomoa
Ngoja tuone mwakani sio mbaliUna hamu ya kuwahishwa India si ndio?
Sawa Mwakani ni hapo tuNgoja tuone mwakani sio mbali
Mbona 2020 aliacha na kugombea ubunge. Ndo ashindwe sahv, akati uhakika anao. LolNitoe pole kwa wafiwa kwa kumpoteza mtu muhimu dkt. Faustine ndugulile.
Hakika hiki kifo na mimi kimenistua na kunihuzunisha. Mbuge wa kigamboni tangulia nasi tuko nyuma yako.
Sasa jimbo la kigamboni litakuwa wazi, naiona nafasi ya makonda kwenda kuwa mbunge wa kigamboni.
2020 paul makonda alishika nafasi ya pili kwenye kugombania ubunge wa kigamboni.
Je ataacha ukuu wa mkoa?, tusubiri wakati.
Jimbo lisubiri 2025.Wana-Kigamboni tufanye Jambo moja tu. Kura zote kwa Komredi DAB
Kuhusu kifo cha mbunge wa Kigamboni, soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia