Pre GE2025 Nani anafaa kuwa mbunge wa Kigamboni baada ya kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile?

Pre GE2025 Nani anafaa kuwa mbunge wa Kigamboni baada ya kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nitoe pole kwa wafiwa kwa kumpoteza mtu muhimu dkt. Faustine ndugulile.

Hakika hiki kifo na mimi kimenistua na kunihuzunisha. Mbuge wa kigamboni tangulia nasi tuko nyuma yako.

Sasa jimbo la kigamboni litakuwa wazi, naiona nafasi ya makonda kwenda kuwa mbunge wa kigamboni.

2020 paul makonda alishika nafasi ya pili kwenye kugombania ubunge wa kigamboni.

Je ataacha ukuu wa mkoa?, tusubiri wakati.
Mbona 2020 aliacha na kugombea ubunge. Ndo ashindwe sahv, akati uhakika anao. Lol
 
Back
Top Bottom