Nani anafaa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu baada ya Zuhura Yunus kuondolewa?

Huyu bwana simfahamu ila nimekuwa namfuatilia mara nyingi akitoa speech zake Kwa waandishi wa habari akielwzea masuala mbalimbali yanayoendelea kuhusu Mahakamani ya Tanzania.

Licha ya kwamba huyu ni Profesa ila anatumia Lugha rahisi kabisa na ni mahiri sana wa kujenga hoja na kuiwasikisha Kwa Lugha simple na Kwa wajihi mzuri kiasi Kila mtu anamuelewa.

Nadhani Serikali imchukue huyu badala ya huyu Makoba .

Msikilize hapa 👇👇

View: https://youtu.be/lnUPUyvaidU?si=FWdAt-bQnEEewbxz
 
Nilifaa niwe kwenye huo mkeka ila nimefanyiwa fitna na watu wanaosemaga fitna kwao mwiko
 
Yuko Vizuri sana tu kabobea kwenye Marketing anajua sana branding kui brand Ikulu Vizuri anaweza Tena sana ila hiyo post ya usemaji Kwa level yake itakuwa kama demotion

Hapo alipo yeye ndie mtendaji mkuu wa Mahakama Tanzania

Cheo Cha usemaji kidogo mno Kwa kiwango chake ila akikubali Sawa tu naunga mkono hoja
 
Tanzania hii nani ni asiye mjinga, wakati nyerere alishasema adui ujinga tunae. Lini ilifutwa kauli yake?
Au huyaamini maneno ya "mtakatifu"?
Mtakatifu ni MUNGU pekee, Nyerere hakuwa mpuuzi wakujiita majina ya kijinga kama Mhe, Mtukufu, Mtakatifu, PhD ya matope sijui Pro aliitwa Mwaliimu pekee, pamoja na madhaifu yake ya kibinadamu hakutaka kujikweza kijinga, ndiyo maana wakati wake mawaziri wote waliitwa ndugu na siyo waheshimiwa. Kwao hakupendelea wala familia yake haikuwa na mtumishi wa umma zaidi yake yeye, angalia ndugu zako wanavyojazana na kuiba mali za umma, wewe pamoja na kwamba ni mzanzibar lakini ulisoma bure za shule bara. Shame on you
 
Hilo lipo wazi.
Msigwa alijitahidi lakini alipwaya sana kipindi cha mfungo na akipita katika Corridor za jumba jeupe akinukia harufu ya yule mnyama haramu.
Maza anajitahidi nchi kuibadili iwe ya ijumaa pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…