Nani anafaa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu baada ya Zuhura Yunus kuondolewa?

Nani anafaa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu baada ya Zuhura Yunus kuondolewa?

Yuko Vizuri sana tu kabobea kwenye Marketing anajua sana branding kui brand Ikulu Vizuri anaweza Tena sana ila hiyo post ya usemaji Kwa level yake itakuwa kama demotion

Hapo alipo yeye ndie mtendaji mkuu wa Mahakama Tanzania

Cheo Cha usemaji kidogo mno Kwa kiwango chake ila akikubali Sawa tu naunga mkono hoja
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na Msemaji wa Serikali ni Cheo kidogo kuliko mtendaji Mkuu wa mahakama?
 
Mheshimiwa Dr Balozi Mindi Kasiga anafaa kuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu kumrithi Dr Zuhra Yusuf. Asanteni
 
Back
Top Bottom