The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na Msemaji wa Serikali ni Cheo kidogo kuliko mtendaji Mkuu wa mahakama?Yuko Vizuri sana tu kabobea kwenye Marketing anajua sana branding kui brand Ikulu Vizuri anaweza Tena sana ila hiyo post ya usemaji Kwa level yake itakuwa kama demotion
Hapo alipo yeye ndie mtendaji mkuu wa Mahakama Tanzania
Cheo Cha usemaji kidogo mno Kwa kiwango chake ila akikubali Sawa tu naunga mkono hoja