Nani anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA baada ya Viongozi kutimuliwa?

Kwa nini isiwe wewe kamanda?

Chini yako BAWACHA inaweza kuwa revamped and become vibrant kinoma!
 
Hata yy angekuwepo kwenye list angeenda tu
Sijakataa ila atleast hakuwemo kwenye List. Ila anafaa nafasi fulani ndani ya Bawacha anakamsimamo fulani, japo wanawake sio wa kuwaamini sana
 
Yule dada aliyepambana na Lissu kutaka nafasi ya kugombea urais wa JMT yuko wapi?

Amandla...
 
Sijakataa ila atleast hakuwemo kwenye List. Ila anafaa nafasi fulani ndani ya Bawacha anakamsimamo fulani, japo wanawake sio wa kuwaamini sana
Bora akuwepo maana mngegombana hahaha coz wenyewe viongozi Walitaka mtu ambae ataenda viti maalum atoe 50% ya mapato yake kwenye chama
 
Sijakataa ila atleast hakuwemo kwenye List. Ila anafaa nafasi fulani ndani ya Bawacha anakamsimamo fulani, japo wanawake sio wa kuwaamini sana
Wanaume wameanza "usaliti" kabla ya wanawake. Na kwa idadi bado "wasaliti" wa kiume ni wengi kuliko wanawake.

Amandla...
 
Erythrocyte
Peneza
Ruge
Komba
Kenan
Mama bujiku
Newton
Na Anamaria Ntabo wote wapo vizuri
 
Mimi nilidhani walitaka rushwa ya ngono?

Amandla...
Hapo sio rushwa
This time walikuwa kibiashara zaid
Walitaka watu ambao wataleta pesa za kutosha kwenye chama na kabla ya kuwa mbunge Walitakiwa kulipia
 
Wanaume wameanza "usaliti" kabla ya wanawake. Na kwa idadi bado "wasaliti" wa kiume ni wengi kuliko wanawake.

Amandla...
Kama ni mkristo, rejea Eden utajua wanawake ni akina nani,,! Nisamehe kwa kuuliza dini yako.
 
Uelewe kuwa BAWACHA sio Chama, BAWACHA ni baraza la chama kwa wanawake. Mpaka uichukue Chadema ndio utapata nafasi ya kuongoza BAWACHA.

Jee umekwisha jiuliza wakijaza nafasi influence ya Halima itapotea? Na itachukua muda gani?

Kuna series of attacks zitaongozana na kina Mdee ndio watatoa map ya mashambulizi.

Hii ni vita kubwa kuliko macho yanaweza kuona. Kwa leo hii, hatuna idara ya utafiti na utekelezaji ambayo inao think tanks ya kuchangia na ku neutralise attacks kwa ufanisi na haraka.
 
Wale Wanawake ambao wataweza tu Kumridhisha Mwenyekiti Wao Taifa kwa Sera zao hasa za Faragha na Kibaiolojia hadi Kufurahi ndiyo watafaa.
Nadhani hili ndilo andiko duni na la kibwege zaidi hapa jukwaani tangu mwaka huu uanze , hongera kwa kuvunja rekodi
 
1.Hilda newton
2.Rose mayemba
3. Upendo peneza
4. Devotha minja
5.yule dada wa Tanga aliye chuana na mwana FA
 
***** sisiemu, wameshawasahaulisha uchaguzi sasa hivi mko bize na ishu zenu za ndani!
sisiemu ni mtambo!
 
Catherine Ruge,ameonyesha ukomavu na kutokuwa na tamaa mbele,Kama alishawishiwa na wenzake na bado akasimamia msimamo wake kwamba hawezi saliti chama.Huyu anafaa sana.
 
Sawa tu nidhamu kwanza hayo mauchafu yenu peleka lumumba
 
Wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…