Ana elimu ya hapa na pale.Nawaambieni lukuvi anaandaliwa, atapewa wizara nyingine, kuna tetesi kuwa ataweza kuwa spika au kumkaimu matelephone mark my word.........Lukuvi ametolewa kwa mkakati ili awekwe mahali kimkakati
Waache wajipe matumaini,, Lukuvi atabaki mbunge tuSasa PM anakuwaje? Kwanba Baraza la mawaziri litavunjwa ili achaguliwe kuwa Waziri?
Kale ka mama kana roho mbaya sana na hakafai kabisa fadhali mama akutupilie mbaliTulia pole sana, anza kupiga jaramba la kisaikolojia.
Ni simple tu katelefone anaambiwa ebu tangaza kujiuzulu tuSasa PM anakuwaje? Kwamba Baraza la mawaziri litavunjwa ili achaguliwe kuwa Waziri Mkuu?
Tumia akili usitumie hisia na hasira.Kale ka mama kana roho mbaya sana na hakafai kabisa fadhali mama akutupilie mbali
Wewe ongea tu maana maneno hata kwenye khanga yapoTumia akili usitumie hisia na hasira.
Kila la kheri.
Hapo kwa matelephone nimepapenda.😁😁😁😁Nawaambieni lukuvi anaandaliwa, atapewa wizara nyingine, kuna tetesi kuwa ataweza kuwa spika au kumkaimu matelephone mark my word.........Lukuvi ametolewa kwa mkakati ili awekwe mahali kimkakati
😁😁😁😁😁Speaker [emoji344]
Sasa kama alikuwa anataka kumtoa Majaliwa hakuwa na sababu ya kulifanyia marekebisho baraza la mawaziri leo...angeaza na PM moja kwa moja then angetangaza upya baraza la mawaziri.Ni simple tu katelefone anaambiwa ebu tangaza kujiuzulu tu
😁😁😁😁😁Waache wajipe matumaini,, Lukuvi atabaki mbunge tu
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hujanipata mkuu kwani ukimfuta kazi pm inakulazimu kuvunja bunge?Sasa kama alikuwa anataka kumtoa Majaliwa hakuwa na sababu ya kulifanyia marekebisho baraza la mawaziri leo...angeaza na PM moja kwa moja then angetangaza upya baraza la mawaziri.
Acha kujipa moyo weweNawaambieni lukuvi anaandaliwa, atapewa wizara nyingine, kuna tetesi kuwa ataweza kuwa spika au kumkaimu matelephone mark my word.........Lukuvi ametolewa kwa mkakati ili awekwe mahali kimkakati
Siyo kuvunja bunge, PM akitoka ni baraza la mawaziri lina vunjwa.Hujanipata mkuu kwani ukimfuta kazi pm inakulazimu kuvunja bunge?
Hizo gharama za kurudia uchaguzi unazicover na fedha gani wakati watu ni ombaomba?
Hata bunge nadhani ila sina uhakikaSiyo kuvunja bunge, PM akitoka ni baraza la mawaziri lina vunjwa.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mabavicha hata hayajui sheriaNi simple tu katelefone anaambiwa ebu tangaza kujiuzulu tu
Hatumuogopi bali ni sukuma gang kundi hatariMabavicha hata hayajui sheria
PM akishajiuzulu maana yake baraza zima limevunjika
Kwa akili yako hii,Rais asingetangaza mabadiliko angeanza na PM
Halafu kwa nini mnamuogopa sana PM?
Daaah sasa bunge linavunjwaje kwa kumtoa PM. Soma Katiba tafadhali.Hata bunge nadhani ila sina uhakika
Tunafurahia sana kuona sukuma gang ikizidi kukatwa viunoMabavicha hata hayajui sheria
PM akishajiuzulu maana yake baraza zima limevunjika
Kwa akili yako hii,Rais asingetangaza mabadiliko angeanza na PM
Halafu kwa nini mnamuogopa sana PM?
Nashukuru kwa ushauri wako ingawa kuna sehemu nilikwambia mapema kuwa sina uhakika na hiloDaaah sasa bunge linavunjwaje kwa kumtoa PM. Soma Katiba tafadhali.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Lowasa alipojiuzuru bunge lilivyunjwa.??Hata bunge nadhani ila sina uhakika