Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Ndivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati Kuu ya CCM.

Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Hata hapa Ufipa unataka tuiombee ccm ife?
 
ccm bado wako na lile fisadi la mikataba mibovu na ufisadi?
Ama kweli ccm nitazidi kuamini kuwa ni ukoo wa panya
 
Hiyo kamati kuu wakimpitisha Tulia itadhihirisha ilivyo muhimu kupata katiba mpya.

Tulia ni batili kwa sababu haja jiuzulu unaibu spika. Hivyo hastahili kujadiliwa kwenye nafasi ya uspika.
Wakimpitisha Tulia watakuwa ni wehu
 
Ndivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati Kuu ya CCM.

Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Huwezi ukaombea taasisi. Wanaombewa watu......!!!
 
Ndivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati Kuu ya CCM.

Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Hapo spika ni mtemi vijisenti, cheusi mangala atatulia kwenye u naibu mpaka 2025.
 
Nyoka mwenye makengeza aliyetumwa pesa na wapiga kura wake karudi siyo!!
 
Sio kwamba anahitajika kiivyo bali yeye Chenge ni heri kuliko wengine.
Kwa hio huyo spika kijana anayeweza kulipeleka bunge kisasa ndie huyo tulia?
 
Ndivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati Kuu ya CCM.

Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Tulia ndio spika ajaye
1.Anatosha(kwa kigezo cha elimu)
2.Mwenzetu
3.Umri una wastani mzuri
4.Gender equality
5. Hajawahi kutuhumiwa popote
 
Ndivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati Kuu ya CCM.

Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Tumwombee Chenge, CCM na Tulia go to hell
 
Ndivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati Kuu ya CCM.

Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Zote takataka, wezi wa fedha Jersey na wezi wa kura Mbeya. Takataka tupu
 
Nina waswas na dr emmenuel nnchimb naona nafasi yake ya ubaloz imeshazibwa haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…