Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Mimi napempendekeza Andrew Chenge. Sababu zangu ni hizi
nimezitoa kwenye bandiko hili

No... hatamfunika, it's the other way around, baada ya Mama kuanza to show her true colors na kukunjua makucha, her weaknesses pia are now visible with plain eyes, hivyo kiukweli kabisa, Mama anahitaji kusaidiwa seriously ili aweze, Dr. Tulia hawezi kumsaidia but Chenge can!. Tumeona madhara ya a compromised perliament, Chenge sio a compromising man kwenye vitu vya kijinga jinga, hivyo atamsaidia sana Mama, kulisaidia Bunge lisipitishe sheria za ajabu ajabu na kulisaidia Taifa.
P
Sukuma gang tena? No way
 
Sukuma gang tena? No way
Huu ni ukabila, ubaguzi na kutuonea!, mimi sikuangalia kabila lake nimeweka sifa zake, kama the best of the best ni Msukuma, asipitishwe kwasababu ya kabila lake?.
Si uliona jinsi Wasukuma walivyo majembe kazi?
P
 
Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
Kwani naibu Tulia katiba inasemaje?

Ninavyojua, mwenyekigoda akijiuzuru ama kudanja, naibu hushika kigoda bila hata swali fikirishi kama hili.

Hata kama katiba haisemi chochote, wampe tu yeye, ana uzoefu na kiti. Ni yeye.
 
Uvutaji wa Bange / Bangi kwa Wabunge Wote Bungeni utaruhusiwa na hata Kuuziana humo humo Wabunge kwa Wabunge.

Hahahaa angefanya vizuritu,huitaji kuwa competent pale, sababu muimili ulio jichimbia sana utakuambia nini chakufanya, ukijisahau tu ukakumbuka kwamba nawewe ni muhimili ukaanza kufanya kaziyako imekula kwako.
 
Tunaendelea kuwapendekeza wazee baada ya kutafuta damu changa ili ziweze kusukuma gurudumu hili. Wazee mda wao imekwisha Ila kipindi cha magufuli alikuepo anawaibua vijana .
Kuna wakati nilikuwa na mawazo kama haya ila baadae nikagundua nilikuwa nawaza ujinga. Hebu angalia mifano ya vijana wafuatao, Bashite, Ali Hapi , Gambo, Biswalo, Mnyeti, Ole Sabaya etc. Mwishoni utagundua mtu kuwa kiongozi mzuri hakutegemei sana umri, uwezo binafsi ndio kigezo cha kuangalia.
 
Zungu angefaa lakini Afya haimruhusu ya akili ni kama ndugai tuu na nimemwona hivi karibuni hapana anaweza kutumwaga zaidi mwezi ukiwa mchanga
Huyu ndiye kinara wa kuanzisha miamala ya simu, huyu mzee hana maana yoyote.
 
Ndugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.

1. Tulia Ackson

2. Andrew John Chenge

3. Abdurahman Omari Kinana

4. Mussa Azan Zungu

5. Hamad Rashid Mohamed

6. Dr Harrison Mwakyembe

7. Jenister Joachim Mhagama

8. David Mwakiposa Kihenzile

9. Stephen Masatu Wassira

10. Dr Harrison Mwakyembe
 
1.x,2.x,3√4.,5.x6x,7.x8.,9x,10 x
 
namba 6 na 10 umerudia ....
11.stephen masele
 
Mkuu hao wote hamna watampa bashiru ili kubalance mzani 2025
 
Back
Top Bottom