Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Leo baada ya hizi teuzi za maadhi ya mawaziri na manaibu wake,huku mzee wa sheria KABUDI akiwekwa kando katika baraza hilo,.
Naziona hesabu za Raisi samia za kumpeleka huyu mwanasheria nguli akawe spika wa bunge la jamuhuri ya tanzania
 
Niko nasikiliza wimbo wa Roma " Nimesoma PCM siyo PCB...nchi imeuzwa vigogo wanapita atm...tuwazomee wote mafisadi..."
 
Kwa wasio fahamu Ndugai alikuwa mtu muhimu sana kwa maslai mapana ya taifa na mbunge mmoja mmoja hakika walimpenda.

Pili ukiachia yeye kama yeye kuomba msamaha kauli yake au alichoongea Ndugai hakina ubaya wowote kwa wabunge na wananchi wa kawaida hata vyama pinzani, hivyo wabunge ambao siyo mawaziri wanaweza kuwa upande wa Ndugai. Na wabunge ambao mawaziri hawa watakuwa kimya kwa sababu ya kulinda uwaziri wao.

Lingine kupata spika mpya wa awamu mpya huwa kunakuwa na mikiki mikiki mingi sasa kupata Spika wa kuokota dodo katika msufi lazima kutatokea heka heka.

Lingine karibu wabunge wote ni ngumu wakajizungumzia kufika pale bila kumtaja Magufuli, kwani kuna wabunge wengi hata awakustahili na hawakuwa na sifa ya kuingia bungeni lakini kupitia Magu waliingia na hawa bado hawana mahaba na mama kivile wenyewe wanamahaba na mzimu.

Hapa swali la kujiuliza wote ni kuwa hivi ni kweli mizimu ipo au haipo inanguvu au haina nguvu? maana kanisani na msikitini wanakataa lakini dodoma itasema.
Hadithi
 
Leo baada ya hizi teuzi za maadhi ya mawaziri na manaibu wake,huku mzee wa sheria KABUDI akiwekwa kando katika baraza hilo,.
Naziona hesabu za Raisi samia za kumpeleka huyu mwanasheria nguli akawe spika wa bunge la jamuhuri ya tanzania
Hawezi huyo ni team JPM
 
Nashauri hicho kiti akikalie mzee Jakaya Kikwete kama katiba inaruhusu au kama haiwrzekani basi apewe mjane wa Chayo
 
Nawaambieni lukuvi anaandaliwa, atapewa wizara nyingine, kuna tetesi kuwa ataweza kuwa spika au kumkaimu matelephone mark my word.........Lukuvi ametolewa kwa mkakati ili awekwe mahali kimkakati
 
Nawaambieni lukuvi anaandaliwa, atapewa wizara nyingine, kuna tetesi kuwa ataweza kuwa spika au kumkaimu matelephone mark my word.........Lukuvi ametolewa kwa mkakati ili awekwe mahali kimkakati
Mama anampenda sana Lukuvi
 
Back
Top Bottom