Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HadithiKwa wasio fahamu Ndugai alikuwa mtu muhimu sana kwa maslai mapana ya taifa na mbunge mmoja mmoja hakika walimpenda.
Pili ukiachia yeye kama yeye kuomba msamaha kauli yake au alichoongea Ndugai hakina ubaya wowote kwa wabunge na wananchi wa kawaida hata vyama pinzani, hivyo wabunge ambao siyo mawaziri wanaweza kuwa upande wa Ndugai. Na wabunge ambao mawaziri hawa watakuwa kimya kwa sababu ya kulinda uwaziri wao.
Lingine kupata spika mpya wa awamu mpya huwa kunakuwa na mikiki mikiki mingi sasa kupata Spika wa kuokota dodo katika msufi lazima kutatokea heka heka.
Lingine karibu wabunge wote ni ngumu wakajizungumzia kufika pale bila kumtaja Magufuli, kwani kuna wabunge wengi hata awakustahili na hawakuwa na sifa ya kuingia bungeni lakini kupitia Magu waliingia na hawa bado hawana mahaba na mama kivile wenyewe wanamahaba na mzimu.
Hapa swali la kujiuliza wote ni kuwa hivi ni kweli mizimu ipo au haipo inanguvu au haina nguvu? maana kanisani na msikitini wanakataa lakini dodoma itasema.
Mwita WaitaraHalima Mdee
Hawezi huyo ni team JPMLeo baada ya hizi teuzi za maadhi ya mawaziri na manaibu wake,huku mzee wa sheria KABUDI akiwekwa kando katika baraza hilo,.
Naziona hesabu za Raisi samia za kumpeleka huyu mwanasheria nguli akawe spika wa bunge la jamuhuri ya tanzania
Atakufa kabisaIli Mama azidi kupiga kwenye mshono, Spika mpya aidha apendekezwe Prof. Assad au Steve Masele.
Mgogo atahama nchi.
Aliandika kwa kuwatega ili liwalipukie huko, yule ni mzoefu wa siasa za makabiliano.Kaambiwa hakuandika Ile barua vizuri (kisheria) hivyo abaki kwanza kwenye kiti.
Mama anampenda sana LukuviNawaambieni lukuvi anaandaliwa, atapewa wizara nyingine, kuna tetesi kuwa ataweza kuwa spika au kumkaimu matelephone mark my word.........Lukuvi ametolewa kwa mkakati ili awekwe mahali kimkakati
Shule inaruhusu?Speaker [emoji344]