Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Mimi naona huo uspika apewe hata Halima Mdee
images (99).jpeg
 
Julius Nyerere
Rashid Kawawa
Edwad Sokoine
Cleopa msuya
Edwad Sokoine (second time)
Salim A Salim
Joseph Warioba
John Malechela
Cleopa Msuya (Second time)
Fedrec Sumaye
Edwad Lowassa
Mizengo pinda
Majaliwa Majaliwa

Who is next?
Kati ya 12, 9 wako hai na wanagharimiwa na serikali?
 
Pindi tutakapopata Spika Mpya Waziri Mkuu atajiuzulu kwa hiari au kulazimishwa. Then Mama ataunda serikali yake kamili na mpya ya awamu ya sita
Baada ya kuona ile FAKE NEWS nikawaza kama wewe
 
Nimetafakari sana kwann Prof Kabudi katemwa uwaziri, nikaona mheshimiwa Mbunge anaandaliwa kuwa Speaker wa Bunge la JMT
 
Yule ana misimamo ya mitero hawezi alafu kule ni muhimili mwingine anaweza fanya mambo ya kukomoa.bora hata chenge au zungu au lukuvi kati ya hawa 3 apatikane hapo mmoja
Huyo Zungu sitaki hata kumuona hapo ntasali usiku na mchana ili asifikie hapo anakera hata kumtazama tu!

Kama kuna kumchukia mtu basi nafikiri huyo mjamaa ninamchukia mno.nambar 1
 
Back
Top Bottom