Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Huyo Zungu sitaki hata kumuona hapo ntasali usiku na mchana ili asifikie hapo anakera hata kumtazama tu!

Kama kuna kumchukia mtu basi nafikiri huyo mjamaa ninamchukia mno.nambar 1
Basi nenda wewe ukagombee ili kumzuia asipate uspika.
 
Mzee chukua fomu ya uspika mimi binafsi sina shaka na weledi wako nina Imani kubwa na wewe na kampeni nitakupigia
 
Unaweza ukafanya kampeni lakini wapiga kura wasikuelewe halafu mbaya zaidi kama nawewe sio mpiga kura itakua umefanya kazi ya hasara
 
nyie ndio mmepewa ile milioni 150 kwaajili ya kumpigia kampeni?
 
Wanajukwaa ,Napenda niwambie kwamba kwa hali ilivo Hawa ndo wateule .Je ni kwa nini Dr Nchimbi atakua naibu spika jibu ni kwamba atakua hivo ili kimkontloo spika Tulia Akson,hivo basi Nchimbi ndo atakua na nguvu kuliko spika .
Manake pia ni kwamba Nchimbi ndo mtoto mpendwa kwa akina Mama.
 
Tulia ubunge wenyewe umemshinda atawezaje kuliongoza bunge?
 
Wanajukwaa ,Napenda niwambie kwamba kwa hali ilivo Hawa ndo wateule .Je ni kwa nini Dr Nchimbi atakua naibu spika jibu ni kwamba atakua hivo ili kimkontloo spika Tulia Akson,hivo basi Nchimbi ndo atakua na nguvu kuliko spika .
Manake pia ni kwamba Nchimbi ndo mtoto mpendwa kwa akina Mama.
Ndiyo atakuwa Spika mbovu kuliko hata Ndugai
 
Back
Top Bottom